NYUMBA INAUZWA NJIRO KWA MSOLWA , ARUSHA MITA 10 TOKA BARABARA KUU YA KWENDA THEMI ESTATE.Nyumba ni ya ghorofa,JUU kuna master bedroom yenye kabati kubwa la nguo,water heater,spilit unit,taa za kisasa,changing room,bath cube,bath tab,hand wash basin,bidets,toilet varanda kubwa mbili yenye view ya mlima kilimanjaro,na mlima meru,vyumba viwili vya kulala self contain na varanda kubwa heater ya maji,study room kubwa,mini sitting room.
CHINI kuna guest room self contain yenye kabati la nguo,bath cube,heater,hand wash basin.Dinning ina hand wash basin,taa za kiasasa,sitting room taa za shandria,spirit unit ndefu,door camera,public toilet,laundry,stoo,jiko kubwa lenye kitchen cabnet, jiko la gesi,drier ya vyombo.
Nyumba ina tiles nyumba nzima,vioo vya aluminium,vigae vya Nabaki Africa,gata za kuvuna maji,reserve tank,taa za garden na security,geti la kuslide,nyumba mpya kabisa ina umeme wa tanesco na maji ya dawasco.muuzaji ni mwenye nyumba,dalali hatakiwi.Kwa mawasiliano piga simu , email mwijo70jojo@yahoo.co.uk Kazi njema .Picha zadi Bofya hapa


Ok tumekupata ila nadhani inatakiwa isomeke "split unit" badala ya "spirit unit". Tunalifikiria. Ichube
ReplyDeleteMuuzaji tutajie basi angalau bei ya kuanzia hapa kabla hatujaanza kukupigia simu?
ReplyDeletemaji ya DAWASCO? ARUSHA?
ReplyDeleteMaji ya DAWASCO? ARUSHA
ReplyDelete..dah, hivi Arusha kuna maji ya DAWASCO!!! tehe tehe teh!
ReplyDeleteANONY. NO 1 - WATU WAKO KWENYE BIASHARA, WEWE UNASAHIHISHA SPELLING SII INAELEWEKA HATA HIVYO.NYUMBA NI NZURI SANA WENYE HELA ZAO RUKSA.
ReplyDeleteichube wewe kama mnunuzi kweli ya nini kujifanya mjuaji wa lugha za wenzako makosa madogo madogo eti kujidai kukosea mkuu vipi wewe ukitaka nunua nyumba au kodi wacha zako hizo
ReplyDeleteplease jambo mmoja naomba mwenye nyumba weka contact zako ili nikitaka kuwasiliana na wewe nikupate vipi mkuu
sasa mjamaa weka bei basi , mimi nitoke huku dar mpaka Arusha kwa kukifuata kitu hata bei siijui.
ReplyDeletenyumba nzuri ndio nimeipenda, lakini kama ni ya kuuzwa au kukodishwa lazima bei iwe inajulikana au iweke kwenye site au kurasa za mauzaji ya n yumba ili bei iwe wazi
Unauza au kupangisha nyumba halafu bei hutundiki manake nini?
ReplyDeleteIli kupunguza usumbufu wa kupigiwa simu (Wabongo nadhani unawajua), waonaje uweke bei kabisa!!
ReplyDeleteMIJITU HAINA HATA ELFU KUMI MFUKONI AFU INAJITIA KUSAHISHA SPELL MISTAKE...U MUCH KNOW TU UMEWAJAA, NDO MAANA MNAKUFA MASKINI, KWA SABABU YA MAJUNGU NA UJUAJI MWINGI
ReplyDeleteMamlaka ya maji Arusha inaitwa AUWASSA.
ReplyDeleteMsijihangaishe asking Price is TSH. 500 Million!
ReplyDeleteAsiyekuwa na hela inayokaribia hapo wala hata kusahihisha spelling asifanye aendelee na mengine!
HIVI NYUMBA ULIJENGA ILI UUZE AU UKAE MWENYEWE, KWANI KUNUNUA NYUMBA KAMA HII HATUI FOUNDATION IKO JE, MATANKI YA MAJI MACHAFU HAYARUDISHI MAJI NDANI N.K. NYIE MNATAKA KUNUNUA MUWE WAANGALIFU SANA.
ReplyDeleteMwenye kuwa na vitu vikubwa vitatu :
ReplyDelete1.PESA kuanzia TSHS. 10 Million angalau.
2.BIASHARA HALALI inayo fanyika na mzunguko mzuri.
3.AWE MTEJA WA BENKI MAKINI.
Mtu wa aina hiyo ndiyo ajitahidi kuuliza ni vile hata kama atakuwa chini ya bei anaweza kuongea na Benki yake akalipiwa kununua na Benki halafu yeye akarejesha taratibu deni Benki (WANAITA MORTGAGE AND RE-FINANCING FACILITY)