Kiungo chipukizi wa Simba SC na Timu ya Taifa (Taifa Stars), Shomary Kapombe (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya Sh Milioni 12, kutoka kwa mgeni rasmi katika sherehe za utoaji wa tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,Alhaj Ally Hassan Mwinyi (kulia) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam usiku huu. Kapombe pia alishinda tuzo ya Mwanamichezo Bora chipukizi.Picha na Bin Zubeir Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2012

    Hongera sana. Ila inasikitisha sana unaposhindwa kutofautisha mavazi na hafla. Hata mwanangu japo ni mdogo anajua wapi avae suti, wapi avae kaptura na wapi avae track suit bila ya mimi kumshauri. Hivi ulijisikiaje hapo, tena ukiwa na Rais pembeni ambaye amechukulia jambo hili kwa heshima sana?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2012

    ONGERA SANA KIJANA. ILA TUNAOMBA HAWA VIJANA WAWE NA SOMO LA MAFUNDISHO LA UVAAJI NGUO UNAANGALIA UNAKWENDA KUKUTANA NA NANI UVAA NINI, MBONA WAMEKUWA AWAEREWEKI HIYO NGUO ALIYOVAA UTAFIKIRI ANAKWENDA CLUB WABADILIKE KIMAVAZI. WAFUATE MIFANO YA WENZAO SIJAWAI KUONA MCHEZAJI MKUBWA ANAITWA KAMA HIVYO ANAVAA KIJANA WETU HAPO.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2012

    Kapombe, you should have dressed up for the occasion!
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...