Kwa niaba ya familia ya Mr & Mrs Stanslaus Kaganda tunatangaza kifo cha ndungu Flavian Stanslaus Kaganda(26.08.1981 - 07.06.2012) aliyefariki hospitali ya taifa Muhimbili tar 07/06/2012 na kuzikwa makaburi ya kinondoni tar 09/06/2012.
Taharifa ziwafikie ndugu jamaa na marafiki,wanajumia wa shule ya sekondari Loyola/Alumni Association na Chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Bwana Ametoa,Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Lihimidiwe.AMEN



R.I.P Brother,ulikuwa CR wangu pale IFM,ADIT wote tatakukumbuka daima.
ReplyDeleteR.I.P Flavian. Ulinipita darasa tukiwa Loyola, ila ulikuwa mtu watu na ukujali uliongea na kila mtu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana Lihidimiwe. Amen
ReplyDelete