Muandaaji wa tamasha la muziki wa Classical Hekima Raymond wa Tanzania (kulia) akiwaongoza wanakwaya wenzake Dar Choral Society with Orchestra iliyoanzishwa miaka 1940 iliyopita katika Tamasha lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2012

    Ningetamani ungetuonjesha kidogo, mimi mshabiki sana wa miziki ya aina hii.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2012

    Hello Mkuu,
    Hivi hii concert band wana utaratibu upi mtu ukitaka kujiunga nao. Binti yangu ana piga violet na flute angefurahi sana kujiunga nao tukija likizo wakati wa summer. Tafadhali tufahamishe jinsi ya kuwapata.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2012

    Jamani tangazeni vizuri mambo haya ili yafahamike. tupo tunaopenda mambo haya...!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...