Msanii Chegge Chibunda kutoka kundi la Wanaume Family akifanya makamuzi ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Mhe. Temba wa Wanaume Family akishusha burudani kwa mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2012

    Nyie wasanii mnachangia kuvuruga watoto wetu, hebu pandisheni masuruali yenu yakae panapostahili....alaah!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...