MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE KHADIJA MWANAMBOKA AKIELEZEA KAZI MBALIMBALI ZA TANZANIA MITINDO HOUSE KATIKA KONGAMANO LA BIASHARA -TANZANIAN AMERICAN BUSINESS CONFERENCE LILILOFANYIKA MJINI HOLLYWOOD,CALIFORNIA
KHADIJA AKIWA NA WADAU WA KITANZANIA KUTOKA MJI WA ATLANTA
KHADIJA AKIWA NA BALOZI WA TANZANIA MAREKANI MHE MWANAIDI MAJAAR PAMOJA NA WAANDAAJI WA KONGAMANO HILO KUTOKA KAMPUNI YA TIGU INC
This was one of its kind...Tanzanians are moving ON..vikao vya kula nyama choma na kupiga umbea vinaisha sasa...hawa jamaa walio organise hii wamefanya kazi nzuri sana...Ilikuwa sherehe ya heshima sana kwa watanzania..kuzungumzia maendeleo na opportunities zilizopo nchini kwetu...I Love TIGU....!!
ReplyDeleteSafi sana! Tukiendelea hivi tutawafikia watani wetu wa jadi (nchi jirani) na hata kuwapita. Wakenya ni hodari sana wa kuitangaza nchi na bidhaa zao. Nakubaliana na mdau aliye-comment kwanza kabisa hapa juu: Watanzania tuache or at least tupunguze vikao vya umbeya na porojo.
ReplyDeleteTena ni Jambo la muhimu kuwapongeza saaana Wadau wa Mitindo ambao wamekuwa ni mhimili mkubwa na matumaini ktk kutangaza Biashara zetu Ughaibuni!
ReplyDeleteNi wakati sasa wa kuamsha hata aina zingine na bidhaa za Tanzania kuzitangaza mfano:
1.MADINI
2.VYAKULA VYA TIBA ASILIA KWA AFYA
3.RASILIMALI ZA MALIASILI
4.UWEKEZAJI
5.BIASHARA NDOGO NDOGO
6.VIFAA VYA JADI VYA KAZI NDOGONDOGO (NYUNGO,VIBUYU,VINU,MICHI, VITENDEA KAZI)
7.UTAMADUNI
N.K.