Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin (wa tatu kulia) na mamodo wake walioonesha TIGU Colour Collection huko Hollywood, Marekani, na kutia fora. Chini ni mamodo wengine wakionesha mambo ya Asia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2012

    Very good!!!!! Na sisi Watanzania sasa tuwaige Wakenya na kuwa 'proactive' katika ujasiriamali. Si kukaa kuning'iniza mikono pembeni, kupiga porojo, kungojea vitu vya bure na kulalamika saa zote. Uvivu unaua! Shime Wabongo! Tuanze kuwa wabunifu kama Auntie Asia Idarous.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...