Mshambuliaji wa Twiga Stars, Mwanahamisi Omori akijaribu kutaka kuwatoka mabeki wa Ethiopia wakati wa mchezo wa kufuzu fainali za mataifa ya Afrika kwa wanawake uliofanyika kwenye Uwanja wa Tanifa jijini Dar es Salaam. Ethiopia imeshinda 1-0 na kuitoa mashindanoni timu ya Tanzania.
Wachezaji wa Ethiopia pamoja na viongozi wao katika benchi la ufundi wakifurahia ushindi wa timu yao
Ubao wa Matokeo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2012

    kweli ng'ombe wa masikini hazai....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2012

    Dada zetu poleni kama TFF wangekuwa makini kama nyie mgepita kivuko hiki na kusonga mbele!
    Kaka yangu Tenga program ya football ya kina dada ikoje mbona twafuata tu mkumbo jamani Tanzania katulaani nani hatuna mipangilio ya shughuli zetu nani katulogaaa!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...