Ashley Young na Ashley Cole waiua Uingereza kwa kukosa penati walizopiga dhidi ya italy katika mchezo wa robo fainali wa kombne la UEFA dakika chache zilizopita. Italy imeshinda 4-2.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2012

    Michuzi fasta zan Yahoo.
    Dr Gangwe Michuzi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2012

    ENLAND NJE SIO UK

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2012

    SASA MAKOMBE YA EURO YANATUSAIDIA NINI? INGEKUWA VILABU KWELI KOMBE LA BARA ZA AFRICA ZA TAIFA HATUWEKI DUH WAKOLONI WAMETOKA ITABIDI WAKOLONI WENGINE UJERUMANI TUWE TEHTEHTEH. MAJINA YA ASHLEY NOMA.

    ReplyDelete
  4. David MasanjaJune 25, 2012

    Bwana Michuzi nikusahihishe kidogo,ni England iliyotolewa si UK kama ulivyotunabaisha

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2012

    England ni wapuuzi na wajinga sana!!. Wamemfukuza Capello yeye alikuwa kocha mzuri anajua tactic zote za waitaliano, waspanish, na anafikiri tofauti na waingereza. Hawaitaji kocha mwingereza, wanaitaji kocha anayeweza kutofautiana nao. Capello alikuwa "perfect guy". Majinga yamemfukuza. "Wajinga ndio waliwao" kama kichwa cha mwendowazimu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2012

    Hawa waingereza walistahili kutoka mapema tu hata kabla ya hizo penalt,
    Hawajacheza mpira wowote wapuuzi wale bora wametolewa tu

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2012

    bongo kwa kuongea hodari kweli, ndio maana kila mtu sasa kawa mwana siasa vitendo hakuna we unaye ikosoa uingereza si ajabu huna juhudi yoyote ya kuinua au kuendeleza mpira hata kwenye ngazi ya mtaa wako...!
    badilikeni ngugu zangu oooh !

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 25, 2012

    Cappelo ilikimbia akijua england hawafiki mbali. Anonimous hapo juu... Cappelo hajui chochote na kama kujua tactics za wataliano mbona roy hodgson ana jua pia. Alisha wahi kuishi na kuifundisha inter-milan miaka ya kati ya 90. Anajua tactics zao mpaka lugha ya kitaliano fasaha.

    Hata nani aletwe england haitafika mahali mpaka wabadilishe wanavyo cheza na kuanza kuwa na ball posession. Mchezo wao udogoni ni kupiga mpira mbele na hio ni nzuri kwa madifender lakini striker wala midfiler hawata elewa chocote. Ndio maana england leo in mabeki wengi wanao wanza kuchezea timu nyingin duniani wakati hawana midfielders wala strikers

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...