Katibu Mkuu wa Chama cha siasa TADEA Juma Ali Khatibu akitoa ufafanuzi wa Maswali mbalimbali yalioulizwa na Waandishi wa Habari huko katika Baraza la wawakilishi la zamani Kikwajuni Zanzibar kuhusiana na kuimarisha Amani na Utulivu Zanzibar na Kulaani matukio ya uvunjifu wa Amani yaliotokezea hivi karibuni huko Zanzibar.
Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto,Zainab Omar Mohamed akielezea malengo na maendeleo ya Wizara yake kwa Waandishi wa Vyombo mbalimbali hawapo pichani huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Waandishi wa Habari mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Ustawi wa Jamii maendeleo ya Wanawake na Watoto Zainab Omar Mohammed akielezea kuhusiana na Maendeleo na malengo ya Wizara huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.


Assalama Leko zenu Mabinti wa Kizanzibari!
ReplyDeleteJamani ama kweli Muungano mtamu sana sasa ukivunjika tutatokea wapi na mauwa ndio haya?
Mie mwanaume Mbara nimewapenda mnenonga pia ningependa niwasiliane na huyo mwenye shungi nyekundu na mawani juu!
Inshallah!
Eti Muungano uvunike,,,khaaa?
ReplyDeleteJamani Majogoo tunachapa dona kwa maharage tupo Bara na 'Mitete' yaani kuku jike ndio hao Visiwani!
Angalia akina dada walivyopendeza Mashallah ! ama kweli Ndala Kasheba alisema Zanzibar kuna upepo unanukia marashi ya karafuu!
Sasa wapinga Muungano mbona mna fitina sana tukaoe wapi ?