Mmoja wa wakazi wa Iringa aitwaye Theresia Mifwa akikabidhiwa simu ya mkononi aina ya sumsung na Meneja Mahusiano wa  Airtel-Tanzania,Jackson Mmbando, mara baada ya kuichambua vyema huduma ya Jiunge na Supa5 kwa ufasaha ,wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa5 uliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye uwanja wa Mwembe Togwa mkoani Iringa. Airtel Jiunge na Supa5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’  AU WIKI UTUME KWENDA 15548.
Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya (hip hop),aitwaye Roma akiwarusha baadhi ya Wakazi wa mji wa Iringa walijitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Mwembe  Togwa,mjini humo na kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Iringa uliofurika mwishoni mwa kwenye uwanja wa Mwembe Togwa wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.Aidha huduma hiyo itatambulishwa tena hivi karibuni katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’  AU WIKI UTUME KWENDA 15548.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2012

    Ndio Maana CHADEMA ikipata wagu wengi wanafikiri kuwa ni wapenzi wao kumbe hawajui kwamba vijana wengi mjini hawana kazi ndio wingi wa watu. Hebu angalia sasa walivyojaa, hii ni promitiobn ya Airtel tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...