Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Robert Orr ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago cha faru, Balozi wa Canada nchini, Robert Orr ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar salaam leo kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Afisa wa Masuala ya Siasa katika ubalozi wa Canada nchini, Sebastien Lanthier (kulia) na balozi wake, Robert Orr (katikati) ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa China nchini, Lu Youqing kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China nchini, Lu Youqing, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.


siku ya mazingira Dunia, Mh MP wambie wachina wapunguze kutuletea maplastiki na Takataka nchini.
ReplyDeletevile vile hamsha uzalishaji wa vitu asilia kama juisi za matunda ,asali ,maziwa n.k.
Hizi kemikali zinazozidi kumiminika zinatumaliza bila wenyewe kujijua.