You only find these in Moshi, Kilimanjaro region, a typical cultivating African agricultural town. Somebody told me Moshi means Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo, what a bad joke!
Home
Unlabelled
Amazing Moshi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Moshi ni Mji safi sana na watu Wasafi Pia, mikoa mingine igeni...
ReplyDeleteMoshi ni kwa wajanja tu
ReplyDeleteThe link to more photos are not working?
ReplyDeleteit is working on mine. Mkubwa ni hiyo computer yako tu chai maharage, na hapo ulipo kuirepair hiyo computer ni more expensive than to buy a new one,so please ,tutumie sisi hiyo ya zamani wewe kanunue mpya-huku tutaikarabati na itarudi upyaa .Zebedayo msema kweli.
ReplyDeleteZebadayo acha hizo. Kweli haifunguki.
ReplyDeleteKalungi
home sweet home
ReplyDeleteMoshi ni patamu jamani hasa maisha ya milimani kama vile Kibosho, Machame, Uru, Roombo na Marangu
ReplyDeleteZebedayo acha hizo. ni kweli haifunguki.
ReplyDeleteMba"%$#___ff!! Xcsichwiii.
Zebedayo acha kuzingua wadau kwa kujifanya upo bongo wakati wewe ndiye mbeba box mashuhuri hapo Ukerewe....hahahahahaha tumekustukia
ReplyDeleteZebedayo mbeba box nambari waniiiii
nimimi tu....