Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Mhe Henry Shekifu (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe Leticia Nyerere kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Sumve, Mhe Richard Ndassa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Mweshimiwa anaonyesha umahiri wake kwenye kung-fu nini?
ReplyDelete