Beach plot , ufukwe wa Ziwa Victoria kaskazini mashariki mwa mji wa Bukoba. Kilometa 4 kutoka Bukoba airport. Plot ina Title deed na ina ukubwa wa Mita za mraba 15408.


0658499188 au 0756499188 au kwa namba hizi  +26773309420 au +26772870064 au +26774101642.
samahani:  madalali hawana nafasi.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2012

    kwa matumizi ya ardhi inawezekana kujenga hapo??????????

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2012

    tuhakikishiye kama hiyo siyo sehemu ya hifadhi za fuko kama vile ziwa,bahari n.k.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2012

    ndiop maana Zanzibar tunataka nchi yetu kwa mammbo kama haya ya kuuziwa nchi yetu kidogo kidogo kuanzia kigamboni sasa victoria baadae malindi baadae nchi yote kama palestina na israil

    ReplyDelete
  4. Kuna bahari Bukoba??

    ReplyDelete
  5. Hapo Nshomire utataka Bilioni ngapi?

    ReplyDelete
  6. Mdau wa 3 wa Zanzibar hapo juu nonymous wa ATue Jul 31, 10:34:00 PM 2012

    WEWE UNAYOIITA NCHI YAKO 'ZANZIBAR' NI NDOGO MIMI YANGU KUBWA, SASA UNA WASI WASI GANI?

    SASA WAKATI TUPO KTK MUUNGANO INA MAANA WEWE UNAYO NAFASI YA KUNUFAIKA NA ARDHI YANGU MFANO HUKO BUKOBA UNAO UWEZO WA KUTUPA KETE YAKO UKANUNUA !

    KWA NINI SASA USINUNUE ARDHI BUKOBA?

    SASA HAPO ANAYENUFAIKA NA MUUNGANO NI NANI WEWE MZANZIBARI AU MIMI MBARA (MACHOGO)???

    ReplyDelete
  7. Naitwa chogo boy..nyinyi wazenji tulizeni mizuka hebu waulizeni wadogo zenu wanaokwenda south africa hasa wapanda meli tunavyo watuliza kama mpira yani kiuraini..hasa ww hapo juu unaesema mnaitaka znz yenu..utabaki kua mdebwedo tu..mbele ya ngosha mjeshi kamili..aksante sana nyerere kwa kutupa maujanja ss machogoooooo.yani raha tupu..moro wana msemo unaosema...karaga baho.

    ReplyDelete
  8. Unauza fukwe wamekaa kimya. Utajenga na ukimaliza tu wanakuja kubomoa. Kurudishana nyuma ni sera za nchi yetu.

    ReplyDelete
  9. Sisi wazanzibari hatutaki kunufaika na nchi yenu basi tuwachieni nyie mnabeba mizigo ya nini?
    Sijapata kuona mtu mzima analazimishwa kula wakati ana akili timamu,

    AMA kweli mnatupenda Ndugu zetu wa Damu lakini tushachoka kubebwa mmetufunza vya kutosha sasa tunaweza kutembea wenyewe mbona mmetushika tu!

    ReplyDelete
  10. Mkuu hilo ni eneo la hifadhi ya ziwa, atakayenunua itakula kwake

    ReplyDelete
  11. Hii sehemu naijua ni kwa matumizi ya ujenzi wa hotel na water based intertainment activities. Title ni ya domestic commercial activities

    ReplyDelete
  12. kakushika nani wewe wa zanzibar, nje ya huu muungano huna faida yoyote popote si bara wala magharibi ni sawa na mafia tu. Hivi hiyo unayoiita Zanzibar wote mnadai nchi au wengine wanadai kitu kingine? kwa maana wengine mna wakina mjomba nje ya hapo mnaletewa mishahara bila kufanya kazi unakaa unapiga simu nje na kulalama na wewe unatishia kuondoka kama hawajaleta mshiko mapema. Tunawajua hamtaki kufanya kazi na hela mnataka itakuwaje?

    ReplyDelete
  13. TSUNAMI IKIJA HAPO KUNA USALAMA? KUNA UMEME, MAJI AU BARABARA? KAMA UNAUZA MBONA HAMNA BEI AU ND'O WALE WALE AKINA NANIHIII.

    ReplyDelete
  14. you can not sell a beach

    ReplyDelete
  15. Mdau uliyeuliza kuna Bahari Bukoba? nafikiri ndio nyie mkiona neno Beach mnafikiri Pwani tu Beach ni ipo huoni hapo mchanga na Ziwa pembezoni ndio Beach yenyewe hiyo.

    ReplyDelete
  16. BIJAMPOLA hiyo- gusa uipate!!!

    ReplyDelete
  17. Huyo anayesema kuhusu Zanzibar, hivi inaingilianaje na mambo ya plot iliyopo Bukoba? Hao ndo wachafuzi wa hali ya hewa ya Muungano!Kwa jina la Yesu na Mtume washindwe! Jamaniee hapa zungumzieni yanayohusu topic, UNUNUZI WA PLOT! Kwa ushauri zaidi, kama una uwezo wa kununua, hakikisha umecross check document zote zaidi ya mara 10 na ardhi. Kila la kheri Watanzania wenye nia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...