Jengo la Bunge katika viwanja vya maonesho ya kimataifa ya Bisahara vya Mwalimu JK Nyerere (Saba Saba)
Watumishi wa Bunge wakifafanua baadhi ya kumbukumbu za zamani za Bunge kwa wageni wanaotembelea banda la Bunge.
Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika picha ya pamoja katika Banda la Ofisi ya Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2012

    FANYENI MAZOEZI, VITAMBI VIMEZD WABONGO

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2012

    Na mimi niliongezea kusisitizo hilo Jamani wakati hakuna vikao vya Bunge fanyeni mazoezi. Spika tunaomba wawekee Gym pale Dodoma, kinyume cha hivyo tutapoteza nguvukazi mapema.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2012

    Brown Mwangoka na Silver Chindandi vitambi hivyo jamani mnatutia aibu... mazoezi please.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2012

    Afadhali hata huyo Silver kaweza kuchuchumaa, huyu Brown balaa. Mazoezi muhimu humuona Mark yupo smart!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2012

    Jamani ninyi mnaopigia kelele mazoezi hebu wekeni picha zenu tuwaone....

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2012

    Jimroja niwe nakuvona aho? Rumburio ekikuaterejia aho hantu weho. ngezija, ninevecha kukuvona.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...