Watanzana wameombwa kujitokeza kwa wingi katika kuwashingilia wanamichezo watanzania wanaoshiriki katika michezo ya Olympic huko London, wito huo umetolewa na bendi maarufu ya Ngoma Africa aka FFU,yenye makao yake Ujerumani.
Bendi ya Ngoma Africa inawaombea mafanikio na ushindi wanamichezo wa Tanzania,Tuwaomba watanzana na marafiki wa Tanzania pamoja taha sisi mbali mbali zilizopo Uingereza na ughaibuni kujitokeza kwa wingi na kuzipeperusha bendera za Tanzania kwa kuwashingilia wanamichezo wetu,kwa shangwe,shangwe na mayoe ! Tanzania ! Tanzania! Tanzania! oyeeeeeeeeeee!
Mungu wabariki wanamichezo wetu!
Mungu Ibaraiki Tanzania !
Kamanda mkuu ras makunja mie nipo UK aka Ukerewe naupokea wito wenu nishanunua bendera ya TZ na nitapeperusha viwanjani
ReplyDeleteffu tunaitikia wito wenu,je na nyie mtakuwepo pale?
ReplyDelete