Afisa Utawala wa Global Publishers, Sudi Kivea (wa kwanza kushoto), akiwa na Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Benjamin Mwanambuu (katikati), wakimkabidhi kombe hilo ofisa mwandamizi wa polisi wa Kinondoni, Wilbrod Mutafungwa, kituo cha Oyster Bay jijini Dar leo.

KAMPUNI ya Global Publishers Ltd inayochapicha magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Championi leo imekabidhi kombe la ligi ya polisi jamii ikiwa mdhamini wa ligi hiyo iliyoanza kutimua vumbi tangu Julai 9 mwaka huu.
(PICHA NA ERICK EVARIST/GPL)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...