Hallow!
 
Hope all is well. 
Kama ungependa kuchangia ujenzi wa hostel ya wanaume shule ya St. Anthony’s Mbagala via MPESA fanya yafuatayo:
Dial *150*00#
Select Pay Bill
Enter Business no:290290
Reference no: Enter your phone no
Enter amount:
Enter Pin****
Press 1 to confirm or 2 to decline
 Please spread the word
 
Asante sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2012

    Wazo zuri, hongera sana St.Anthony's, Its something we have been waiting for since 1994!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2012

    Mimi nilishachangia ingawa nina uchungu watoto wetu walisoma kwa shida wakipanda mabasi matatu matatu kwenda na kurudi.
    Tunawaombea mema. InshaAllah wajukuu zetu watafaidika!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...