Hallow!
Hope all is well.
Kama ungependa kuchangia ujenzi wa hostel ya wanaume shule ya St. Anthony’s Mbagala via MPESA fanya yafuatayo:
Dial *150*00#
Select Pay Bill
Enter Business no:290290
Reference no: Enter your phone no
Enter amount:
Enter Pin****
Press 1 to confirm or 2 to decline
Please spread the word
Asante sana
Wazo zuri, hongera sana St.Anthony's, Its something we have been waiting for since 1994!
ReplyDeleteMimi nilishachangia ingawa nina uchungu watoto wetu walisoma kwa shida wakipanda mabasi matatu matatu kwenda na kurudi.
ReplyDeleteTunawaombea mema. InshaAllah wajukuu zetu watafaidika!