Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2012

    Hee he heeee hee.Hii katuni ya mwaka.

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2012

    Duh! WIZARA YA AFYA MMPO? Hii imetulia yaani watoto wa mjini wanasema meseji sent and delivered. Kwa style hii sidhani kama wanaume tutakosa matiti kweli!!! Nimeshuhudia sehemu nyingi dawa zinagawiwa hovyo, cd4 inapimwa pale unapoonekana ni dhaifu sana.

    ReplyDelete
  3. haina mjadala,jambo hili nikweli kabisa hasa kwa vituo vilivyoko vijijini,CD4 zianapimwa kwa macho.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2012

    Sasa madaktari wakigoma mbona mnawashambulia mpaka wengine wanataka kuwashtaki wakati wao sio serikali.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2012

    Oh! Ndo maana hizi ARV siku hizi wanalishwa mifugo kuku, pig n.k. Wakulamiwa ni nani? Kwani hivo mashine na vifaa vya kupimia vinavyopigiwa kelele ni kiasi gani? Hebu wajuzi wa mambo tunaomba bei, kisha tuangalie kama ni sawa na Land Cruiser ngapi, (hata kama tumepewa msaada) basi yaweze kupigwa bei ili nasi wananchi na wapiga kura wenu tupone. Kuhusu hili naona we don't need Phd holder atupatie mawazo na kutuamulia.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2012

    Sawa na Bugando Medical Center, mara hakuna reagent kwa kupima kama kuna virusi kwenye damu! Hali hiyo si vituo vya Afya hata hospitali kubwa kama Bugando . Kweli Ukubwa wa pua si wingi wa Kamasi! X-Ray hakuna bugando

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2012

    Wabongo Bwana hatueleweki kabisaaa.Juzi tu tulishangilia madaktari kufukuzwa kazi na kupigwa,leo tunasema Bugando pia hamna reagents..hahahahaha.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 16, 2012

    Sasa Madaktari wanagomea haya haya mbona hamuwaungi mko
    no?????

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2012

    Wabongo ni watu wanaofuata hisia zao tu na si uhalisia wa kitu. Leo akiamka hisia zinamtuma aunge mkono madaktari atafanya hivyo. Kesho akiamka anajisikia kuunga mkono serikali atafanya hivyo. Sometimes they contradict themselves because their judgements are always driven by emotions and not reality.

    Zaidi ya hayo ni wepesi wa kudanganywa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 17, 2012

    Kugoma sio kuboresha huduma/ sijui nani kailoga hii nchi watu kukurupuka kuhukumu. Sasa kugoma ndo kunaboresha huduma? hujafiwa na jamaa kwa mgomo wa madoctor kwanza hamna ajira zinazosumbua nyie si mnatibiwa na mwajiri?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...