UBALOZI WA TANZANIA SWEDEN UMEPOKEA POCHI YA NDUGU MARYCONSOLATA WILHELM TAIRO. POCHI HIYO IMEOKOTWA NA POLISI NCHINI ESTONIA IKIWA NA VITU MBALIMBALI.

MHUSIKA ANAOMBWA AWASILIANE NA UBALOZI KWA BARUA PEPE mailbox@tanemb.se AU SIMU +46 8 732 2430/31 ILI AELEKEZWE NI JINSI GANI ANAWEZA KUVIPATA VITU VYAKE.

TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2012

    Police wetu wangeokota ya Mrundi tu... Dah sijui ya mzungu....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2012

    Haya sasa Manjagu wa bongo umeiona hiyo? siyo kuokota pochi mnsaura kwanza mnaacha vitambulisho tu..kazi kubambikana makesi...aibu sana!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2012

    tabia nzuri, keep it up, hivyo ndivyo inavyotakiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...