kwa katuni zaidi www.komicfirst.blogspot.com
Home
Unlabelled
kibonzo cha kijast bikozi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hee he heeee hee.Hii katuni ya mwaka.
ReplyDeleteDavid V
Duh! WIZARA YA AFYA MMPO? Hii imetulia yaani watoto wa mjini wanasema meseji sent and delivered. Kwa style hii sidhani kama wanaume tutakosa matiti kweli!!! Nimeshuhudia sehemu nyingi dawa zinagawiwa hovyo, cd4 inapimwa pale unapoonekana ni dhaifu sana.
ReplyDeletehaina mjadala,jambo hili nikweli kabisa hasa kwa vituo vilivyoko vijijini,CD4 zianapimwa kwa macho.
ReplyDeleteSasa madaktari wakigoma mbona mnawashambulia mpaka wengine wanataka kuwashtaki wakati wao sio serikali.
ReplyDeleteOh! Ndo maana hizi ARV siku hizi wanalishwa mifugo kuku, pig n.k. Wakulamiwa ni nani? Kwani hivo mashine na vifaa vya kupimia vinavyopigiwa kelele ni kiasi gani? Hebu wajuzi wa mambo tunaomba bei, kisha tuangalie kama ni sawa na Land Cruiser ngapi, (hata kama tumepewa msaada) basi yaweze kupigwa bei ili nasi wananchi na wapiga kura wenu tupone. Kuhusu hili naona we don't need Phd holder atupatie mawazo na kutuamulia.
ReplyDeleteSawa na Bugando Medical Center, mara hakuna reagent kwa kupima kama kuna virusi kwenye damu! Hali hiyo si vituo vya Afya hata hospitali kubwa kama Bugando . Kweli Ukubwa wa pua si wingi wa Kamasi! X-Ray hakuna bugando
ReplyDeleteWabongo Bwana hatueleweki kabisaaa.Juzi tu tulishangilia madaktari kufukuzwa kazi na kupigwa,leo tunasema Bugando pia hamna reagents..hahahahaha.
ReplyDeleteSasa Madaktari wanagomea haya haya mbona hamuwaungi mko
ReplyDeleteno?????
Wabongo ni watu wanaofuata hisia zao tu na si uhalisia wa kitu. Leo akiamka hisia zinamtuma aunge mkono madaktari atafanya hivyo. Kesho akiamka anajisikia kuunga mkono serikali atafanya hivyo. Sometimes they contradict themselves because their judgements are always driven by emotions and not reality.
ReplyDeleteZaidi ya hayo ni wepesi wa kudanganywa.
Kugoma sio kuboresha huduma/ sijui nani kailoga hii nchi watu kukurupuka kuhukumu. Sasa kugoma ndo kunaboresha huduma? hujafiwa na jamaa kwa mgomo wa madoctor kwanza hamna ajira zinazosumbua nyie si mnatibiwa na mwajiri?
ReplyDelete