Redd's Miss World Tanzania 2012,Lissa Jenson akiwa na bendera ya Taifa tayari kuelekea nchini China kwenye fainali ya Miss World.
Redd's Miss World Tanzania 2012,Lissa Jenson akipewa Mawaidha na Mkurugenzi wa Lino Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania,Hashimu Lundenga kabla ya kuondoka kwenda nchini China kwa Fainali ya Miss World 2012 Itayofanyika July 28,2012 .
Redd's Miss World Tanzania 2012,Lissa Jenson akiwa na Mkurugenzi wa Lino Agency,Hashimu Lundenga na Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye.Fainali ya Dunia Itafanyika July28,2012 nchini China.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2012

    kwani ameshiriki mara ya pili au mwaka huu hakuna mshindi au nini kimemfanya arudi tena. au nimesahau huyu amewahi kuwa miss? usikute mambo ya BBA second chance? tunaomba maelezo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2012

    Lundenga kama kawa nakuona bwana kaka jicho hilo.Kila la kheri Lissa

    David V

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2012

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, binti hachukizi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2012

    Mwaka 2112?wachaeni mchezo nyie.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2012

    Lundenga huoni ndani hapo kwa huyo 'mjukuu' wako, he he he!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2012

    she iz cute jmn ila ajitunze tu mana hawa mamiss wetu hawatulii kbs.kila laheri lissa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2012

    This lady is classy and beautiful. No fake hair ,natural color, lov how she is..warembo wengine wa bongo should learn from her,leave behind the fake stuff like fake hairs ,fake skin etc

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2012

    katika ma miss wote tangu mwaka 1969 hadi sasa, huyu jamani ni kweli miss tanzania wa kweli.
    tatizo akirudi watu wanawaharibu hawa jamani. lakini huyu anaonekana ana future nzuri tu ya kufanya vizuri si lazima miss world bali hata kwenye fashion kama flaviana matata. wishing you god luck. fungua face book maalum ya support miss tanzania ili watu wajitokeze kwa wingi na wapige kura. hiyo ni kazi ya waratibuuuuuu...lundengaaaaaa

    ReplyDelete
  9. uncle kwani hayo mashindano yanafanyika china au mongolia maana nimexoma mtandao mmoja wanasema mongolia.Naomba kujuzwa

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 17, 2012

    second chance ndio

    ReplyDelete
  11. Hivi Ma-Miss ni rangi na nyele Ndefu, Uzuri wa sura, kichwa na umbo tu! Mbona Huyu si typical Tanzanian/African. In maana watu wa nje ambao hawajui Africa na Waafrika hufananaje wamchukue huyu kama ndiye representative sample wa Waafrika Watanzania?? Yaani tumejuwa Colonized kiwango kikubwa. Ndiyo maana Binti zetu wazuri wamekuwa wakijukoboa, wakidhani uzuri/urembo ni weupe na nywele shombe! Lini tutajivunia U-Afrika wetu. She is beautiful yes; but not African/Tanzania
    beauty.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 18, 2012

    MACHO YANGU MAANA NAONA MWAKA UMEKOSEWA NI 2012 AU 2112.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 18, 2012

    Kufikia Mwaka huo wa 2112 hakuna mingoni mwetu atakuwa hai!

    Kama ikitokea akawa hai atawekewa Rekodi ktk bu cha Maajabu 'Ginness Book of records'

    2112-2012=100

    Miaka 100 mchezo?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 18, 2012

    Kila la kheri binti. Natumanini kuwa waandaaji wa Ms. TZ hawatalala na kutumia vyombo, simu, Lundinda, kuwahamashisha wa TZ wakupigie Kura. Ushindi wako dada.
    GBR

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 18, 2012

    Hapo wabongo ndio wanapokosea. Wamesahau yule miss world pekee alotoka Africa Mnigeria alikuwa na true African beuty. Sisi tunashobokea light skin

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 18, 2012

    Big brother: Mwisho Mamipamba; mara mbili tena: (Chotara)

    Big brother: Richard Beduileuti: Chotara:

    Miss world: Lisa Jensen; mara mbili: Chotara.

    Mwakani big brother tunapeleka mtoto wa mwenyekiti wa sweden; yeye na vyotara vinne.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 18, 2012

    well said Nkerekwa

    ReplyDelete
  18. We anony wa Tue Jul 17, 08:38:00 PM, huyo dada unaishi nae mpaka ukahakikisha kwamba hatumii chochote kwenye nywele au ngozi. Je anatumia Vaseline kwenye ngozi? na nywele hajaweka chemical yoyote? acha ushabiki usio na evidence, hamna mwanamke yoyote alievuka 21 ambae ana uzuri wa asili unless anatumia vaseline 24/7 na nywele ni afro meaning hazina dawa yoyote (mafuta ya nazi kwa sana). Hamna natural hapo kama haumanini angalia begi lake kama haujakuta cream za ngozi na dawa za nywele, na make up kwa sana, Ng'oo..uzuri wa asili ni watoto tu my dear

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 19, 2012

    Jamani nini tena kukashifiana. Mwalimu alisema TZ ni nchi isuyokuwa na rangi wala dini sasa mbona tumeanza kubaguana. Hivi mnaweza kumvunja moyo binti katika kuipeperusha bendera yetu. Hivi hayo maoni ambayo yanamponda kama waandishi wa habari nje wakiyadaka si watasema na kutumia kigezo kuwa huyu binti taka kwao ( TZ ) hakubaliki!! Kueni waungwana na kumkubali badala ya kumponda.
    GBR

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 19, 2012

    GBR

    Huyu mwanadada hawezi kukubalika kwa sababu amepatikana kwa ubaguzi. Warembo weusi wa Tanzania wamebaguliwa na nafasi kapewa huyu. Tafuta nchi yoyote duniani iliyowahi kupeleka mrembo huyohuyo kwenye mashindano ya miaka miwili tofauti ya miss world/universe.

    Tunataka warembo wetu asilia, siyo hawa plastic africans.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...