Ajali hii imetokea maeneo ya Mbezi Afrikana jijini Dar ambapo Lori hili lenye nambari za usajili T 545 BPU lililokuwa likimwaga mchanga na kujikuta likipiga mweleka na kuangukia Gari ndogo aina ya Toyota Rav4 yenye lambari za Usajili T839 BSL iliyokuwa imepaki katika eneo hilo.hakuna aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2012

    Lahaula Lakwata!

    Amepona mtu hapo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2012

    Haya ndio matokeo ya kupleka malori matengenezo ya Magereji ya michangani, chini ya miembe na kwa Dulla Jeba!

    Unakuta Lori breki hazija fanyiwa ajasti sawasawa pipe zinatoa na hzishiki vizuri.

    Fyuuuu breki hadi juu ya RAV 4 kichwani !!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2012

    Jamani watanzania malori ya mchanga yamekuwa ni tishio hapo jijini nadhani kuna haja ya kuyamulika kumbukumbu zinanipa kuwa frequence ya ajali zake inatisha sijui kwa nini

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2012

    Nasikia mwenye gari zote mbili ndio imemtokea wakati anapindua/mwaga mchanga. Ndivo nlivozinyaka ivo. Dereva wa lori aligoma kubinua mchanga akisema body bovu...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 25, 2012

    Jamani ukiona hilo lori kwa mawazo ya kwaida ni kwamba Lori halifai kuwa barabarani je ukaguzi wa lori unfanyika wapi? Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani na Waziri Mwakyembe wajiuzulu mara moja!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 25, 2012

    Loh..!,Dereva angekuwemo humo kwenye hiyo RAV4, tungekuwa tunaongea mengine.Dereva wa lori hakuzingatia taratibu za ubinuaji..kasahau mambo ya Centre of gravity..Lazima alinyanyua kabla ya kusimama kabisa.Ndiyo maana jeshi la polisi linakagua leseni.

    David V

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2012

    Hapo lazima pana mkono wa mtu, maana watu wanawivu kupindukia. Jamaa ndio kwanza kaanza biashara ya mchanga karibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...