Ajali hii imetokea maeneo ya Mbezi Afrikana jijini Dar ambapo Lori hili lenye nambari za usajili T 545 BPU lililokuwa likimwaga mchanga na kujikuta likipiga mweleka na kuangukia Gari ndogo aina ya Toyota Rav4 yenye lambari za Usajili T839 BSL iliyokuwa imepaki katika eneo hilo.hakuna aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali hii.
Home
Unlabelled
Lori la Mchanga laangukia Gari ndogo Mbezi Beach
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lahaula Lakwata!
ReplyDeleteAmepona mtu hapo?
Haya ndio matokeo ya kupleka malori matengenezo ya Magereji ya michangani, chini ya miembe na kwa Dulla Jeba!
ReplyDeleteUnakuta Lori breki hazija fanyiwa ajasti sawasawa pipe zinatoa na hzishiki vizuri.
Fyuuuu breki hadi juu ya RAV 4 kichwani !!!
Jamani watanzania malori ya mchanga yamekuwa ni tishio hapo jijini nadhani kuna haja ya kuyamulika kumbukumbu zinanipa kuwa frequence ya ajali zake inatisha sijui kwa nini
ReplyDeleteNasikia mwenye gari zote mbili ndio imemtokea wakati anapindua/mwaga mchanga. Ndivo nlivozinyaka ivo. Dereva wa lori aligoma kubinua mchanga akisema body bovu...
ReplyDeleteJamani ukiona hilo lori kwa mawazo ya kwaida ni kwamba Lori halifai kuwa barabarani je ukaguzi wa lori unfanyika wapi? Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani na Waziri Mwakyembe wajiuzulu mara moja!!!
ReplyDeleteLoh..!,Dereva angekuwemo humo kwenye hiyo RAV4, tungekuwa tunaongea mengine.Dereva wa lori hakuzingatia taratibu za ubinuaji..kasahau mambo ya Centre of gravity..Lazima alinyanyua kabla ya kusimama kabisa.Ndiyo maana jeshi la polisi linakagua leseni.
ReplyDeleteDavid V
Hapo lazima pana mkono wa mtu, maana watu wanawivu kupindukia. Jamaa ndio kwanza kaanza biashara ya mchanga karibuni
ReplyDelete