Bondia Japhet Kaseba akipima uzito.
Francis Cheka nae akipima uzito wake.
Mabondia hao wakitunishiana misuli.
Cheka akipimwa mapigo yake ya moyo.
...Kaseba nae akipimwa.
...Wakiwa tayari kwa mpambano wa kesho.
---
Mabondia Francis Cheka na Japhet Kaseba leo wamepima uzito wao tayari kwa mpambano wa kesho katika Tamasha la Matumaini litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabondia hao wamepima uzito wao katika hoteli ya The Atrium iliyopo Sinza, Afrika Sana jijini Dar es Salaam ambapo kila mmoja amemtambia mwenzake kuwa ataibuka kidedea katika pambano hilo.


Jackline Wolper V/S Wema Sepetu:
ReplyDeleteMbona na wao hawajapimwa uzito?
Mdau wa juu kwa kukujibu swali lako Wolper Vs wema wanauzito ambao ni
ReplyDeletewolper 90kg
wema 55kg
Ratio 1.636:1=Wolper:Wema
naona walioandaa huo mpambano awakuzingatia viwango vya kimataifa manake Gap ratio yao ni kubwa mno.
nawatakia mpambano mwema.
by Mchambuzi wa mambo
Mbese all the best kesho. Tuwakilishe vizuri!
ReplyDeleteHii mizani ya bafuni siyo accurate sana. Haifai kupima uzito mabondia.
ReplyDeletekaseba utachapwajee?
ReplyDelete