Kiongozi wa Bendi ya Mashujaa,Chalres Gabriel a.k.a Charles Baba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo asubuni wakati wa kutangaza uzinduzi wa video yao mpya inayokenda kwa jina la "Risasi Kidole".Kushoto ni Meneja wa Bendi hiyo,Martin Sospeter.
Sehemu ya video ya waimbo wao huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2012

    Sehemu ya video ya wimbo wao huo, wakati hapo tunaona mmetuwekea picha mnato. Kuweni makini na kazi zenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...