Baadhi ya washiriki wa Miss Utalii Kagera wakipata chakula cha asili mjini Bukoba kabla mpambano wao leo usiku. Yupo pia Marrison Kapiga wa Clouds Fm na yupo msanii wa nyimbo za injili Jane MISSO na mkurugenzi wa Cosad Smart Baitani
Shindano hili litafanyika hii leo Jumamosi 14-7-2012 katika ukumbi wa linaz night Club. na kusindikizwa na Diamond music Band.
kama NBA ilivyolegeza masharti ya urefu, naona mchezo huu nao umelegeza masharti yake mengi mno kana kwamba mamiss wetu hawawezi kushindana kimataifa na mamiss wa america, ulaya, na asia na wakashinda siku hizi.
ReplyDeleteHIVI KWA NINI WAHAYA WAKILA LAZIMA WAPINDE KIDOGO WADAU NISAIDIENI.
ReplyDeleteLabda Mashindano mengine, Miss Utalii Tanzania, kila mwaka tunashinda mataji ya Dunia, hadi sasa tunashikilia mataji matano
ReplyDeleteYani nimetamani sana chakula cha BK baada ya kuwaona hawa mamiss wakila. This is what we call tradition. Muhaya umwambii kitu kuhusu huo msosi aisee
ReplyDeleteAnony 11:47:00 AM.. Sie Wahaya (hasa wanawake) tukila ni lazima tupinde kidogo sababu ya ukubwa wa vijungu tulivyojaaliwa. Ila si lazima kupinda.
ReplyDeleteSasa majani ya migomba si yanaweza kuwa na bacteria au vijidudu vingine? Do you sterilize them before use? If yes, how?
ReplyDeleteeti bacteria, wewe lazima utakuwa uko UK-mshamba mkubwa wee . Zebedayo
ReplyDeleteHapa sufuria la biriani la yanga lilishambuliwa kuwa lina germs na limetoka kwenye moto. Niliandika hapa michuzi akaiminya basi na hii minya. Ila majani ni safi sana hata akinyea ndege twende kazi. Kila mtu ana utamaduni wake, na mbege huliwa katika gilasi????
ReplyDeletevi majani vinakuwa sterilized kwa kuvipitisha kwenye moto.Hiyo misosi ni very healthy kulinganisha na misosi ya kisasa.frozen,industrial processed nk
ReplyDeleteZebedayo acha kuharisha mdomoni,eti lazima utakuwa uko KU..., do not generalise things, kama una wivu chukua kamba.....
ReplyDeleteMwakola muno...mara Munonga&!!
ReplyDeleteDavid V!
Nimetamani hizo viazi Uchagani tunaita "Nduu". Uswahilini "Viazi Mshenzi" kwani vinatoa matunda juu na chini kwenye mizizi. Nadhani wangeviita "viazi shujaa" badala ya mshenzi!! Msosi poa
ReplyDeleteMiss zote huanza kipindi cha ramadhani
ReplyDeleteDu hapo speed mia moja. Kama unona ona iabu hapo unatoka mtupu! yaani ni mikono tu. Ni utamaduni lakini ningependa sana kuona vitanda vya hawa jamaa. Nilimbiwa Wahaya wanalalia majani kama ng'ombe wa wachagga sijui wake though. Hawa jamaa kwa mila na desturi si mchezo! teheee Chadeee???!!!!!
ReplyDeleteHygiene hapo hamna. Mnachangia kula kwa vidole kwenye sahani moja. Wahaya mbona mnaaabisha? Mnavyopenda masifa mtatetea hata hilo.
ReplyDeleteushawahi kusikia wahaya kule bk kagera wameugua kipindupindu? mbona hamtaki kuelewa ninyi wabishi, kule kila kitu lazima kiliwe kikiwa kinatokea jikoni vyamoto hata mbabi lazima zinanaokwa kwanza kwenye moto. kule ni wasafi sana kwa mambo ya misosi jikoni.
ReplyDelete