Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk Parseko Kone akitoa heshima za mwisho wakati akiuaga mwili wa mjukuu wake marehemu,Joshua Kone aliyefariki mkoani Singida na kuzikwa juzi katika eneo la Bomani wilayani Monduli mkoani Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe Parseko Kone aliyesimama wa kwanza kulia akiuaga mwili wa mjukuu wake, marehemu Joshua Kone aliyefariki mkoani Singida n kuazikwa juzi katika eneo la Bomani wilayani Monduli mkoani Arusha. Kulia kwake ni mtoto wake aliyefiwa,Timan Kone. Picha na Moses Mashalla
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...