Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika  Mkutano wa Kamati ya Sensa ya Kitafa, Mjini Zanzibar  leo Julai 14,2012.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2012

    Leo mahandsomeboys wamekutana!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2012

    Hapo protokali imekaaje wadau, nani bosi wa mwenzake?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2012

    Kiprotokali Mh. Pinda ndio Boss!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2012

    Senza ya Zanzibar inamhusu nini Pinda,sema alichokifuata tu hajawahi kutia mguu hata siku moja,ashaona mambo ya Muungano yanaenda vibaya ndio kaja kuchokoza sasa,hatoki mtu safari hii Uchaguzi mpya tunataka maana tunashinda tu Zanzibar kamili- kazi kibao kwa wazanzibari zitapatikana hoyeee

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 15, 2012

    Kazi kibao zikipatikana mtazifanya yakheee au ndo tutawafanyia kama ma-expert??? Dau letu litapanda mara 1000 hivyo mjue, ooohooooo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...