Home
Unlabelled
mkeka na ruvu darajani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mkeka mbaya sana lakini hatari ikitokea ajali mdau toka buja
ReplyDeleteujenzi wa barabara ni gharama kubwa hii lami mswano naomba mainjinia wa fani hii mtujulishe upana wake kwa macho yangu ya sokoni naona tunajenga barabara mpya kwa vipimo vile vile vya zamani yaani nyembamba ajali ndio usiseme kwa vipimo hivi japokuwa udereva wa kasi pia unachangia kwa kasi.
ReplyDeleteikiwa hela ndio tatizo basi ifupishwe urefu lakini ujengaji wa upana huu hatutofikia lengo.
hili ni wazo tu sio suluhisho.
salam zao waendesha baskeli usalama wao mdogo.
mdau.
Kariakoo
huu mkeka mbona unaonekana chini ya kiwango.
ReplyDeletehuu mkeka haujatulia kabisa yaani una dunda dunda kinoma nadhana ardhi ya hapo haiko fresh kiasi kwamba rami huwa ina bonyea bonyea....mbele kidogo ya hapo kuitafuta chalinze ndo usiseme utazani ngozi ya mzee.....
ReplyDeleteTukiondoa ufisadi na uvivu tukavaa uzalendo na uchapa kazi yote yanawezekana. Makandarasi wanapunguza vipimo ili kubakisha ten percent, na hii inafanyika kwa baraka za anaelipa kwani nae anapata mgao.
ReplyDeleteMkeka wa chalinze mlandizi uko chini ya viwango sana, kwanza barabara ni nyembamba mno. Pili iyo barabara japokua bado ni "mpya" lakini tayari ina bambonde mabonde kama ugali vile. Quality zero.
ReplyDeleteSubirini CHADEMA tuchukuwe utawala nyote mtacheka maendeleo kwenda mbele!!!
ReplyDeletekuna polisi wanakaa hapo ruvu kusimamisha kila gari inayopita na kuwazushia makosa. ni wasumbufu sana
ReplyDeleteDaraja ni zuri sana ila mmetuzibia tulikuwa tukipita hapo tunauona mto ruvu kwa sasa hauonekani.
ReplyDeleteSawa ila...Barabara ni nyembamba sana...eti mkeka wa nguvu! Hakuna hata nafasi ya pembeni ya wanaosafikiri na baskeli au miguu. Daraja nalo ni jemba kama uchochoro wakwenda sokoni kwa miguu...Michuzi tafadhali sana tunakuheshimu....
ReplyDeleteHii njia wala haina muda mrefu na imeshaharibika kabisa. Ukipita na gari ndogo inabidi uibie center otherwise unakita chini. Ujenzi wa halimya chini sana
ReplyDeleteDa da da da mdau amenikumbusha hakuna barabara inatesa kama ya Majumba sita kinyerezi hawakuconsider watu wa miguu kama wanaishi
ReplyDelete