To all the Tanzanian Community and to all Abrahams friends that have been there for him during this tragic time, to all the people in Edmonton, Alberta and everyone in Toronto Ontario, that have opened there heart for the help of the costs of his funeral.
I would like to thank all of you on behalf of Abrahan's daughter and myself and I know that Abraham would be so happy to see how much you all have been there with your love.
Also I personally would like to thank everyone who has been there with emotional support for my daughter and myself I cant tell you how much it has meant to me, (us). I cant believe this wonderful man, our Abraham, who was so loving is gone now, but we all know at least he is in such a better place, so my beloved Abraham, may your soul rest in perfect peace. May God grant you Janna Ameen.
Abraham I wish I could have said a goodbye but we will meet again my Love, and you will be missed the most my Aisha.
With Love from: Alma and Aisha.
Tupo pamoja, yote ni mapenzi ya muumba!
ReplyDeleteMkuu leo kijiwe cha diary yangu kimetimiza mwaka mwingine,....kama jirani yangu mwema basi tuwe pamoja, kuniwakilishia hili;
ReplyDeletehttp://miram3.blogspot.com/2012/07/mwaka-mwingine-umetimia.html
Marehemu Abraham hakuwacha mke wala mtoto, tafadhali si vema kumsingizia marehemu mambo yasiyokuwa ya kweli. marehemu Abraham hajawahi kuishi na mwanamke yeyote na huyo mtoto Alma aliyemsingizia kuwa ni mtoto wake Marehemu alifanyia DNA sept mwaka jana na matokea yalikuwa si mtoto wake. Msitake kujinufaisha kwa mtaji wa life insurance. marehemu Abraham japo ameondoka nyumbani kitambo na bahati mbaya kuja kufia nchi ya ugenini, na wazazi wake ni marehemu lakini bado ana ndugu zake, tafadhali liheshimu hilo na sio kutaka kuchua advantages.
ReplyDeleteMichuzi na wewe (be professional) wacha kuminya uhuru wa mawazo ya wengine watu wanabandika matangazo kwenye blog yako wakitaka kunyonya wengine nini.. I hope you don't support this kinda of behaviour nini?
Mdau (Wed Jul 18, 09:53:00 AM 2012) Nimefurahi sana kuona umekuwa naujasiri wa kuanika ukweli hadharani. Ni kweli kabisa Marehemu Abraham hakuacha mke wala mtoto.
ReplyDeleteCha kushangaza na kujiuliza ni kuona huyo msichana wa kihabeshi Alma kajuaje mambo ya blogi ya michuzi?
Pili, Tokea alimpomsingizia marehemu kuwa kazaa nae hajataka hata siku moja marehemu akafanye DNA na mtoto lakini akimtaka atoe pesa za matunzo tu mpaka mwaka jana marehemu alipofanya DNA na mtoto kisiri na kuambiwa si mwanawe kabisa na akamwambia huyo Alma na pia akawajulisha Wa-Tanzania wote ukweli wa mambo. Lakini cha kusikitisha leo baadhi ya marafiki wa marehemu Abraham ndio wamekuwa kidedea kumshika kum supoti huyo msicha wa kihabeshi kwa nia chafu ya kujinufaisha kwa life insurance? eti marehemu kawacha mtoto ? yupi jamani?
Naona sasa wambeba mhabeshi mpaka kwa michuzi eti anawashukuru watu? yeye mwenyewe kachanga nini? wakati Abraham kazikwa na michango ya waTanzania wenye moyo.
Alama na Watanzania wote wenye nia chafu mshindwe na nia yenu ovu kwani marehemu ana ndugu zake kama alivyosema mdau aliyetangulia kutoa maoni hapo juu.