UBALOZI WA TANZANIA SWEDEN UMEPOKEA POCHI YA NDUGU MARYCONSOLATA WILHELM TAIRO. POCHI HIYO IMEOKOTWA NA POLISI NCHINI ESTONIA IKIWA NA VITU MBALIMBALI.
MHUSIKA ANAOMBWA AWASILIANE NA UBALOZI KWA BARUA PEPE mailbox@tanemb.se AU SIMU +46 8 732 2430/31 ILI AELEKEZWE NI JINSI GANI ANAWEZA KUVIPATA VITU VYAKE.
TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.
Police wetu wangeokota ya Mrundi tu... Dah sijui ya mzungu....
ReplyDeleteHaya sasa Manjagu wa bongo umeiona hiyo? siyo kuokota pochi mnsaura kwanza mnaacha vitambulisho tu..kazi kubambikana makesi...aibu sana!
ReplyDeletetabia nzuri, keep it up, hivyo ndivyo inavyotakiwa.
ReplyDelete