Home
Unlabelled
MWANADIASPORA KHAMSIN IDDI ALKHAG ALONGA NA VIJIMAMBO SEHEMU YA II
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi michuzi bro tuweke basi number mmoja ya hii kitu na bab kubwa, khamsin uko juu mwanangu nakupa tick ya kwenda mbele. mambo kama haya ndo tunataka kuyajua siyo kila leo wasomi wasomi utafikir wao ndo mungu.
ReplyDeletekhamsin ninaswali nini maana ya kupiga ulimi, na machokoni najua wangu hii ndo lugha ya kitemi temi enzi hizo lakin nifafanuliye please.
na umesema kweli tupu na umenikumbusha mbali ile mbaya kuhusu uncle yangu mmoja alikuwa baharia yeye alikwenda ubahariyani toka ana miaka 15 au 16 hivi yanki yanki hivi sasa marehemu na amezunguruka nchi kibao na lugha kama 10 anazijua na nikweli tupu MTANZANIA ukimuweka popote mwanangu anafiti
na watu walikuwa hawana roho za korosho kama walivyo sasa ndo maana neema tumeondokewa nayo.
big up mwanangu khamsin
inshallah Allah azikdi kukubarik zaidi na zaid amin
Sasa kaka peninda ile kuitana mchumba mchumba na mwenzio Ramadhani mbona unanipa mstuko kidogo na kolokotroni mapua baada ya kupigwa sana na jua bongo akachukua tripu ya uzeeni aminia jahazi limemmwaga france ebwana umetuwakilisha wasafiri wa zamani
ReplyDeleteBro 50,
ReplyDeleteI'm ur little nephew wa Arkansas.
Umesahau kuwapa ile story ya wewe kuwa mbongo wa kwanza mwenye water bed pale mikocheni na nyumba yenye tv room kwenye attic.
Unajua Bro kila tunapokutana H-town tukiongelea bongo na maisha kiujumla huwa nasema bongo mtu akienda kazini anachofikiria ni kumwibia mwajiri wake,aidha muda, rasilimali, hongo nk. Waambie hao bongo wabadilike ili wapate maendeleo ya kweli. Bongo hakuna work ethics, watu waongo na wafitini. Bora tuwauzie nguvu hukuhuku tukirudi nyumbani ni retirement time aidha summer uko bongo spring uko huku kama ulivyofanya ukajichukulia sehemu yako H-town.
Hongera sana kaka Khamsin,
ReplyDeleteNi kweli hata mimi mdogo wako najua machache uliyoyapitia ila kwa kweli interview hii imeniwezesha kufahamu zaidi. Nakutakia kila la kheri Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na akufungulie milango ya kheri. Amin
Farid
kaka Khamsin interview nzuri,
ReplyDeleteimeniwezesha hata mimi mdogo wako kufahamu mengi na kujifunza, ni kweli hata mimi ni shuhuda wa mengine nilikuwa na enjoy kwenda kula Nsansa na Nswalu kwa ugali Mikocheni lakini ndio hivyo tena.
Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kukubarik, akufungulie milango ya kheri akufanyie wepesi katika shughuli zako. Amin
Farid
Story ya Khamsin Idd ni nzuri .
ReplyDeleteWapo watanzania wengi tu nje ya nchi wana ujuzi na story.
Tuwekeeni.