Dear fellow Tanzanians within the country and in a diaspora, could you kindly support Miss Tanzania who is representing our beautiful country in this year Miss World which will be held in Mongolia.
All you need to do is clicking LIKE on the following link www.missworld.com/contestants/tanzania/facebook
You can also follow Miss Tanzania on twitter @MWTanzania
We are appreciating your support.
Ahsanteni sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2012

    Kaka michuzi,
    Asante kwa fursa huu. Jamani huyu binti anachukua taji kwa hiyo tuanze kukaa mkao wa kula Pilao. Licha ya urefu, sura yake ina futures za zinatotumika katika kuchagua warembo hasa kwenye modeling. Kuradhi kwa kutumia kingereza La msingi awe humble and be herself.

    Ndimi GBR

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2012

    Atashinda maana anasifa zoto. Awe humble na asipretend kuwa kitu ambacho sio yeye.

    Jamani tukae mkao wa kula pilao maana ushindi ni wetu.

    Ndimi

    GBR

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2012

    I still support the villagers in Bongo land, through helping a Hospital.We will soon start a project to build a well in the village and try to do some basic health checks in a few villages, I was thinking of checking Bp and random blood Glucose to Dar es salaam residents when I will be on my hols, I will check with the city bosses about the legality of this task, as for the Miss Tanzania, good luck to herm but I could not care less, I have other Tanzanians on my list who need my help!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2012

    Huyu Bint mrembo anachukua ushindi,ni mrembo sio kama Wema Sepetu,maana wakati ule wema hakuwa mrembo vile mdomo na pua kubwa hakuwa na mvuto,lakini bint huyu ni mzuri mno

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2012

    Bora tangazo lingeandikwa kiswahili kuliko hiyo ngeli ya ajabu ajabu. Na wewe mchangiaji wa kwanza badala ya kuomba radhi kwa kutumia ngeli ingefaa uombe radhi kwa kutumia ngeli ilokosewa. Mnaudhi,mwajua ngeli ya kubatisha bado mwajitoa mbelembele kutuandikia miroroso,kwani ukiandika kiswahili huonekani umeandika?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2012

    MAVI YA KUKU!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2012

    Mimi naudhika sans kwavile tumekuwa brain washed...kwanini kila mnayemchagua ana sura ya weyoe? Tunataka mfanye ksma Jamaica, tafuteni mtu anatetuwakilisha watu weusi..,mweusiiiiiiii....siyo kujibagua wenyewe ati lazima awe mweupe....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2012

    michu nimeingia kwenye site wapi kitufye cha link toa maelezo sahihi kaka

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2012

    Tue Jul 17, 12:18:00 PM 2012
    On your side!

    sesophy

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 17, 2012

    Kweli asilimia kubwa ya watanzania wamekuwa brain washed wanafikiri tu juu ya "vitu vya kizungu" ukija lugha bas tena sifa ni kubofoa Kingereza. Ukija sura basi ile ya kizungu ndiyo nzuri! We have to decolonize our mind for sure.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 18, 2012

    I wonder how long this folly of beauty competition will last, do some quiz competitions, this will help women to empacipate themselves from poverty and aspire to achieve higher!!! Kalaga baho!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 18, 2012

    Kuna lugha inayotumiwa na waandishi wa habari wajinga na hata vyombo vya habari: ana asili a kiasia, au ana asili ya kiarabu lakini hatujasikia hata siku moja kusema ana asili ya kizungu akiwa mtu anayo asili hiyo au ni chotara wa kiarabu au kiasia. Huyu ni mwafrika kamili kweli I mean really au mchaga huyu, maana wenhewe wanajisifu ndio wazuri wa Tanzania. Tusidanganyane hapa tupene profile yake.

    ReplyDelete
  13. Watanzania; tumefilisika kwa mawazo, maono, na utu. Kweli huyu Binti ndiyo typica Tanzanian?? Baraza la Taifa la Sanaa linafanya kanzi gani au nao Siasa zimewaingilia hadi uwani?? Umasaini kuna Binti wazuri mno mno, mbona hatuendi huko tukawakilishwa na a true African. Huu uzuri ni wa Taifa Gani huu!! Huu mseto si wakilishi. I challenge the Authority responsible for this stupid game to draw beaty code and criteria that is true African. Kwanza ni wanaume wanaratibu hii!! They must be looking at the girl if sexually appealing to determin her beauty.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 18, 2012

    Jamani nini tena kukashifiana. Mwalimu alisema TZ ni nchi isuyokuwa na rangi wala dini sasa mbona tumeanza kubaguana. Hivi mnaweza kumvunja moyo binti katika kuipeperusha bendera yetu. Hivi hayo maoni ambayo yanamponda kama waandishi wa habari nje wakiyadaka si watasema na kutumia kigezo kuwa huyu binti taka kwao ( TZ ) hakubaliki!! Kueni waungwana na kumkubali badala ya kumponda.
    GBR

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...