Home
Unlabelled
SAKATA LA JOSE CHAMELEONE: ERIC SHIGONGO AONGEA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nina kaswali kadogo tu: kama huyu jamaa ana historia ya utapeli, kwanini mliingia nae mkataba?
ReplyDeletePoleni sana..Muhaya na Mganda wanakwambieni,,hiyo ni'Magezi ga Baganda',,yaani hiyo maana yake ni akili ya waganda,,siku zote huwaa ni zungusha nikuzungushe,,na bahati mbaya kakutana na hao WaTZ masikini jadi yetu upole,,basi watatuliza sana..Poleni sana!
ReplyDeleteI heard!He converted to Islam,how come Still Tapeli(Au mke wake aliendelea kumuwekea mgomo)?
Ahlam,,London
BIG UP SHIGONGO..HUYO JAMAA MPAKA ARUDISHE HIO PESA NDO APATE PASSPORT YAKE SAWA...NO PESA NO PASSPORT NA ASIKANYAGE TZ TENA HUYO MSHENZI...WAGANDA WANA DHARAU SANA WA TZ WAKATI SIE NDO TULIWAOKOA TOKA KWA IDD AMIN...NYAMBAFFF.....GANGAMALA MWANANGU SHIGONGO PESA HIO IRUDI TUU....
ReplyDeleteMDAU WA LONDON.
Waganda wana daharau sana Watanzania, Sioni tatizo la Eric kumnyang'anya Documents zake huyo mvuta bangi. Tena angemchapa na vibao arudi kwao Kuhalalisha Gay marriages rights. Tuacha upole wa kijinga Jamani sisi Wa TZ.
ReplyDeleteSAKATA LA CHAMELEON
ReplyDeleteMuimbaji chameleon kutoka Uganda ni mwizi sana .Hpa uingereza amesha tapeli watu kishenzi staili hio hio na maneja wake.Ni mchezo wake.Akirudi hapa UK anaweza kupigwa mawe.Bangi zina msumbua tuu.Yeye ninani mtu amabe hawezi kumuheshimu mwakilishi wa Rais wetu Uganda -Balozi wetu pale kampala.Nashanga serikali ya Uganda wamemsikiliza na kuifanya hii ishu itake kuharibu uhusiano mkubwa kati ya nchi hizi mbili.Hivyo chameleone mnamjua ? juzi kawa muislam kesho yake karutadi tena .Bangi haziwezi zina mpelekesha. Anafaa kua jela maana ni msani jambazi.Huko kampala na sikia wamesha rushiana risasi na msani Bobby wine. Naomba watanzania wote tumzomeye chameleon na asirudi tanzania tena kwa tabia yake tena . Hon membe tunaomba hili ulifanyie kazi kwamba wageni hawezi kuja na wakatu abuse hata nyumbani kwetu. Bwana Erik nawe usije uka shika pasport ya mtu ni document ya serikali wala sio mtu binafsi
Ahsante
Diaspora writer
Eric, tena wala usimruhusu aombe msamaha, wewe mburuze kortini kabisaaaa ili atambue kuna watu wana ustaarabu zaidi na hawapendi wizi.
ReplyDeleteShigongo wewe ni mtu ambaye heshima yako iko juu kwa ubunifu na mchango wako kwa jamii, inakuwaje unashidwa kuelewa ni hatua gani ifanyike jambo kama hilo linapotokea?? mbona unatumia mbinu kama zetu ambao hatuna upeo kama wako? Ni sawa na mtu anagonga gari lako barabarani unashuka unachukua briefcase yake na kuondoka badala ya kuchukua number ya gari lake na kusubiri askari wa usalama barabarani. Sheria na taratibu unazijua halafu unafanya mambo kwa ushauri wa ma-bouncer!!! Pamoja na kuwa huyo wanayemuita Dr Chamelion anasemekana ni wa namna hiyo lakini na wewe usingejivunjia heshima kwa kutofuata taratibu.
ReplyDeleteJamani tusimuhukumu Chameleone kwa kusikia upande mmoja tumpe nafasi na yeye hawa wote ni wafanya biashara kikubwa watanzania lazima tubadilike hasa ktk ishu ya mikataba lazima tuwe serious kdg tusipoangalia tutatapeliwa kila siku hasa na watu trickery kama kina Chameleone!!!!!!
ReplyDeleteWabongo pia wamezoea kutapeli wasanii, tuwe fair hapa.
ReplyDeleteUsanii ni mwigi bongo, na dhuluma.
sasa hii video yenu mmekatisha sehemu zile nzuri nzuri maanake nini?
ReplyDeleteSuala si Mganda kumdharau Mtanzania, hapa hoja ni Chameleon kutotimiza makubaliano ya mkataba kati yake na Shigongo. Kama amekiuka mkataba basi Shigongo anatakiwa kumdai si tu hizo fedha alizompa bali hata madhara aliyoyapata kwa kuchafuliwa jina la kampuni yake kwa kuonekana tapeli.
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo juu iwe alikua anajua au hajui lakini kama kulikua na mkataba halali na Shigongo alishatimiza upande wa kwanza wa mkataba huku Kinyonga akionesha nia kwa kukubali ofa aliyopewa na kuipokea basi atakua amekiuka makubaliano kwa kutotoa kile chenye thamani ya pesa aliyopokea
Da haki yako kiongozi ikiwa ni pesa na fidia ya kuchafuliwa
Hivi chameleone amerudi vipi Uganda bila passport?
ReplyDeleteMsilifanye hili ni tatizo la watanzania wote, ni biasahra kati ya two parties. Mazingira yanaonyesha anaweza kuwa tapeli lakini ushahidi hautoshi kuclaim so. Poleni ila nendeni mahakamani na msitumie media kulia.
ReplyDeletePoleni sana wandugu !! kwanza huyo msanii kuitwa Chameleon ingekuwa alama ya kukuonya kwamba sio mtu muaminifu, yaani ni mtu wa kigeugeu kama alivyo kinyonga ! leo unamuona kinyonga na rangi ya njano, kesho ya bluu..kuwa macho wakati ukiwa unafanya dili na watu wenye majina ya kigeugeu !! ndiyo maana huyo mganda akajipa jina la kinyonga ili aweze kuwatapeli watu akidhani kwamba kujibadilisha kwake rangi hakutogundulika..!! fala sana huyo mgannda..halafu mshamba sana..waganga kwa ujumla washamba na mimi nashangaa kwanini sisi wa-bongo tunashindwa kuwadhibiti watu local kama waganda....pole kaka shigongo.
ReplyDeleteNina mambo mwaili:
ReplyDelete1. Wewe Sigongo tangu lini ukafanya bishara na wavuta bangi? Kama unafanya biashara na wavuta bangi, hata wewe si mwema, vumilia umeingizwa mjini na mjanja mwenzio.
2. Suala la watanzania kufanywa wajinga na waganda na wakenya si jambo la ajabu. Ni ujinga wa watanzania ndio unaowafanya watapeliwe. Mbona hata hapa nyumbani mnafanyiwa utapeli mwingi na wabongo wenzetu na mnakubali? nyumbani Mbona sisi wengine tumeishi na hao watu lakini wameshindwa kututapeli. Na sio kwamba hawajajaribu. Ni matapeli kila kona unapowakuta lakini na wewe mtz unapaswa uwe na kili. Usikubali kurubuniwa kirahisi.
Sasa wenye ufahamu wa sheria naomba mnisaidie; hapa Shigongo anamdai Camelione au anamdai argent wake? Manake watz mnatakiwa mzijue sheria kabla hamjafanya malipo ya kitu chochote. Vinginevyo ikitokea umetapeliwa uwe mpole. Wabongo wameshaibiwa sana kwa kutozingatia sheria kabla ya kulipa.
ReplyDeleteHAYA NDO MDHARA YA KUSHOBOKEA VITU VYA WENZETU. CHAMELEON SHOO 1 DOLA 8000 + 3500, DIAMOND ALILIPWA DOLA NGAPI?.
ReplyDeleteWATANZANIA TUAMKE TUACHE KUFANYWA VITEGA UCHUMI VYA WATU KUJITAJIRISHA KIRAHISI MAANA HIZO HELA SISI NDIO TULIOZILIPA KUPITIA HILO LILILOITWA TAMASHA LA MATUMAINI WAKATI KUMBE NI KITEGA UCHUMI CHA WATU.
NAYAKUMBUKA MANENO YA YULE MZUNGU WA MAPANKI ALIYESEMA KWAMBA TANZANIA NI NCHI PEKEE KATIKA UKANDA HUU AMBAPO MGENI ANAWEZA KUINGIA BILA SENTI TANO AKATOKA MILIONEA MKUBWA, UTHIBITISHO NI MASHINDANO YA KAGAME YANAYOENDELEA AMBAYO IMEBIDI YAFULULIZE KUFANYIKA TZ KWAKUWA NDIKO MAHALA PEKEE YANAPOLIPA.
Wote mliotoa comments kuhusu kuwasema waganda mmekosea. Waganda ni marafiki zetu wakubwa mstake kuchanganya issues hapa. Tatizo hapa ni Shigongo na Chamelion. Wadaiane wenyewe wasituingize wananchi wa Uganda na Tanzania kwenye mgogoro wao wa kibiashara. Kwenda kuomba msaada wa kupata Passport yake ubalozini kwetu ilikuwa ni sawa tuu naona, ila kama alidai kwa dharau au alitukana hapo Chamelion anapaswa kupunguza bangi zake. Watanzania tunampenda asitake kuharibu jina lake kwa sababu ya pesa ndogo ndogo au lugha chafu kama ni kweli lakini. Tungependa kupata his side of story too baada ya kumsoma Erick.
ReplyDeleteEric Shigongo
ReplyDeleteChameleone asipate Pasipoti yake hadi arudishe fedha zote.
Mtumie nakala za Makataba uliosainiwa na yeye Chameleone Balozi wa Tanzania huko Kampala aone na atoe taafira Polisi huyo mjinga akamatwe.
Asifikiri waTanzania ni mabwege kiasi hicho.
Hayo mambo akawafanyie huko Kenya asikoweza kwenda kwa sasa.
Huyo Jamaa haelewi ya kuwa Mtanzania ni mtu mpole, mkarimu, mstahimilivu isipokuwa Mtanzania ni mkorofi kama ukiyakanyaga kwake ndicho anachokitaka Chameleone kwetu.
ReplyDeleteChameleone ni Jambazi sana,,,hebu angalia jinsi alivyorudi kwao Uganda bila Pasipoti!
ReplyDeleteSasa mtu wa namna hiyo anasomeka vipi?
Je, alirudi kwao Uganda kwa Fuso la mbao au Lori la mkaa?
Naamini kampuni kubwa kama ya Shigongo ambayo naamini imesajiliwa kihalali haikosi kuwa na Katibu ambaye Kisheria ni Mwanasheria,kutokana na Sheria ya Makampuni ya Tanzania.
ReplyDeleteKwa maana yeye ndie angeona jinsi gani ya kuingia katika mikataba na Mtu kama Kinyonga na sikutegemea aende mtu mwingine katika kusahinisha hiyo mikataba mbali ya mwanasheria.
Tukiwa tunaingia kwenye mikataba tutumie watu wenye taaluma zinazohusika ili kuepukana na gharama na matatizo yatakayotokana na mikataba ambayo haikushughulikiwa na wataalamu.