Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akitoa hutuba ya Ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya watu na Makaazi Huko katika Ukumbi wa chuo Kikuu Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.Kulia kwake ni Kamisaa wa Sensa Zanzibar Mwalim Haji Ameir na Kushoto yake ni Afisa Tawala wa Mkoa wa Kusini Unguja Sabri Abdalla Ali.
Baadhi ya Wakufunzi wa Sensa ya watu na Makaazi wakiwa katika Ufungaji wa Mafunzo hayo yaliochukua karibu wiki Mbili huko katika Ukumbi wa chuo Kikuu Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akiwa katika Picha ya Pamoja na Wakufunzi wa Mafunzo ya Sensa ya Watu na Makaazi Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2012

    Hivi huyu Abdullah Mwinyi ni hodari kiasi gani au ndio huko Zanzibar hakuna mtu mwenye sifa ya kushika hiyo nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2012

    first anonymous what is your point?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...