Home
Unlabelled
UFUNGUZI RASMI WA TAWI LA CCM WASHINGTON ,DMV JUMAMOSI AUGUST 25
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haya sasa USA kumekuacha na ufunguaji wa vyama vya siasa, UK sasa kumekua kimya mum Maajar kaondoka na vyama vyake, jasho litawatoka!!!!
ReplyDeleteMtanzania amka, hii sio mtazamo wa mtu mmoja bali inaonyesha jinsi gani Diaspora inavyojikita katika kutambua mchango wao kwa Taifa letu. Hongereni wakereketwa Washington DC natkutakieni kila la kheri na mafanikio ya kikao chenu.Chama kilicho bora ni kile chenye sera za maendeleo kwa jamii ya muda mrefu na sio tu sera za msimu kujitafutia umaarufu. Hongera Chama Cha Mapinduzi kwa kutupatia ukombozi wa Mtanzania na Umoja kwa Taifa zima.
ReplyDeleteUjumbe toka UK, Northampton