Kaka Michuzi, Hapa ni katika Mizani ya Tinde, Shinyanga. Kuna uzembe unaotia shaka kama kweli nchi hii ina watumishi wengi makini. Naomba usibanie, salaam hizi mfikishie Kamanda John Pombe Magufuli ili afanye mambo mawili. Mosi, asome juu ya hicho kibao hiyo herufi "Z" ni ya lugha gani? Pili, asome hiyo mission aone sentensi yake imelenga nini, maana haieleweki kabisa. Tena kwa uwazi, ili wasiibue majungu kwa watumishi wa Tanroads, waambie kuwa picha hii nimeipiga mimi Manyerere Jackton, Jumatatu wiki hii.
Nawasilisha.
Mdau wa Globu ya Jamii.
Kiwango cha elimu imeshuka kwa ujumla,siyo swala la magufuli.Ni nchi nzima.
ReplyDeleteDude, you must be bored with your camera in Shinyanga. Move on... look for something that says you are smarter than just an inverted "Z"
ReplyDeletemdau please can u get smarter with your camera rather than posting an article because of an inverted "Z"
ReplyDeleteSijaona "issue" KUBWA kama mwandishi anavyotaka tuone... aje na kazi nyingine makini zaidi... as the second comment suggest.
ReplyDeleteHILI NI JANGA LA KITAIFA:
ReplyDeletePana lile tangazo linatoka Redioni,,,wakiwa wanajadili Mwanafunzi wa Sekondari ambaye:
1.Hajui kusoma na kuandika vizuri!
2.Ameandika katika karatasi la Mtihani jina lake tu, hakujibu swali hata moja (Exam sheet ni tupu) na jina lenyewe ameandika sehemu ya tarehe!
Matokeo yake ni wachapaji wa Maandishi kama huyo aliyechapa hapo katika Bango hilo.
Hiyo ndio hali halisi tuliyo nayo nchini!!!
Manyerere Jacton amesasambua uozo wa kweli!
Hayo ni matokeo ya kusoma kwa kuvuka Vidato bila kuelimika!
ReplyDeleteSasa afanye nini? Wahusika wenyewe umepewa namba zao hapohapo umewaeleza juu ya hiyo kasoro wakasemaje? Watu wengine kwa ulalamishi? Sitashangaa siku nyingine ukatuletea maloloso zaidi ya haya.
ReplyDelete