Kiungo wa Yanga,Nizar Khalfan akichuana na Beki wa timu ya El- Salam Wau ya Sudan ya Kusini wakati wa mchezo wao wa Mashindano ya Kagame uliopigwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.hadi mwisho wa mchezo timu ya Yanga imeshinda Bao 7-1.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2012

    WAU timu ndogo sana hiyo,'KIBONDE'.Hakuna cha kushangilia hapo.

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2012

    Yanga bado wana safari ndefu mwaka huu. Kwa hakika wamewaokota vibonde na kukosa magoli kibao, haya saba mpaka dakika hizi za mwisho si kitu.Makosa mno mpaka Wau Salam wamepata goli.

    sesophy

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2012

    Hii inaonesha yanga wako ugenini kutokana na huu ubao au unasomeka kiarabu!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2012

    Hongereni wanayanga ila msivimbe vichwa maana hao jamaa ni vibonde wa mwaka huu kazeni buti mashindano ni magumu,big up yanga afrika

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2012

    Magoli saba ni mengi na yanatosha sana hata km timu ni kibonde but na wao siwalikuwa 11 uwanjani ama? Ktk mpira wa miguu magoli saba ni idadi kubwa regardless how weak the opponent was. Hongera yanga

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2012

    Bila yondani wangetoka droo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2012

    Ama kweli Yanga imecheza na Wavuvi wa samaki!

    Au ndio nini?, hii si kama Basketball au Netball?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 20, 2012

    cha kufurahisha katika magoli yote saba hakuna goli hata moja la matuta,kama ilivyo kwa baadhi ya timu ambazo bila matuta hakuna ushindi na wakati mwingine zinafunga hata matuta matatu kwa mechi moja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...