Home
Unlabelled
ziara ya ughaibuni ya ali choki na bendi yake ya extra bongo imekwiva!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Well done wazee wa Kizigo. Mnakaribishwa sana.
ReplyDeleteLakini, jibu la kizushi baadaye kuwa 'walikosa visa' ndio maana hawakufika Copenhagen au Oslo n.k hayakubaliki wala kuvumiliwa katika karne hii. Matangazo kama haya katika libeneke hili yawe ya ukweli na uhalisia ndani ya majiji yote yaliyoandikwa na katika hizo siku zilizoonyeshwa.
Vinginevyo Bendi zitaanza kufilisiwa kwa madai ya matangazo yanayosababisha usumbufu.
Choki na Extra Bongo wanatisha mzee,,tunawasubiri kwa hamu hapa Stockholm watushushie kizigo
ReplyDeleteAnony hapo juu umesema kweli kuhusu maswala ya VISA. Ni vibaya kuanza kutoa matangazo ya safari kama hiyo wakati kama watu hawajawa na VISA mkononi. Imeshatokea mara nyingi matangazon kibao, mwisho wa siku watu hawakupata VISA
ReplyDeleteHuu ndo muziki wa kibongo tunaotaka siyo hizi kelele za play back na kujifanya sijuwi black americans. Stick to original. Leteni mambo wazee twawasubiri kinoma na hela za kuwatunza tutawapa zipo teleeeee!
ReplyDelete