Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, akiwa amebeba maua, na kuzungukwa na Madaktari wenzake na wananchi wa kawaida waliofika kumlaki, mara alipowasili mapema leo Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Dk Ulimboka alisema kuwa yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.Picha na K-VIS Blog.
Home
Unlabelled
Dk. Ulimboka arejea nchini leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
karibu saana mpiganaji ila nakushauri uhame kwa muda nchini mpaka baadaye la sivyo hatari tupu
ReplyDeleteKaribu nyumbani
ReplyDeleteTuambie nini kilitokea kwenye msitu wa Mabwepande. Funguka kiongozi.
ReplyDeleteAna Roho ya Paka
ReplyDeleteKarudi ??
ReplyDeleteHuyu msanii
ReplyDeleteMungu ni mkubwa na anakupenda. Karibu sana
ReplyDeleteDR BE CAREFULY KWANI SERIKZLI HAIKUMALIZA KAZI YAKE STAY VERY CLOSE TO THE MEDIA AND PUBLIC FOR UR OWN SAFETY
ReplyDeleteKwa wakati huu unashauriwa usikae hapo kibangu, ishi kwanza muhimbili kwa muda, unasakwa kwa udi na uvumba. karibu sana mpambanaji
ReplyDeleteMimi Nakushauri Dr. Ulimboka kimbia nchi hiyo njoo huku tuliko wenzako, nchi hiyo ni nzuri lakini watu wake baadhi yao ni wabaya, watakuua, na hasa kwa vile sasa wanajua utatoa SIRI, kwasababu walidhani wameshakuua kumbe bado na hivyo wanajua utatoa ukweli ulivyokuwa na ndo sababu itakayopelekea kukuua na safari hii watahakikisha wanakuua mpaka unakufa kweli.
ReplyDeleteKaribu home mpiganaji....ila sijui itakuwa je kuhusu usalama wako....Yule akliyekuwa anajifanya rafiki yako, sasa tumuone kama atakuja kukupa pole.
ReplyDeletePole ila kwa kweli Mungu ashukuriwe sana.
Ni jambo la kumshukuru Mungu saana. Mdau unaesema Dr ana roho ya paka, umeshasamehewa dhambi zako mpaka na shetani sii Mungu tuu. Dr tulikuombea na tunazidi kukuombea.
ReplyDeletekwanini wa mue hapana jamani amefanya nini lets change watanzania ,alafu ahame ili iweje usihame kaka yangu kaa hapo hapo ila kuwa makini sana maana nawasiwasi hao madaktar wenzo pia some hawapo upande wako,kama vipi achana na kazi ya DR. tafuta kazi kwenye NGO'S
ReplyDelete