Mdau Mabula Nyameda wa San Diego, California nchini Marekani anatafuta ndugu zake ambao amepotezana nao kwa miaka mingi,ndugu hao ni Bw. Henry Aloys Nyamenda, Bw. Deus Dedit Aloys Nyamenda, Bw. Joseph Aloys Nyamenda, Bi. Maria Aloys Nyamenda na Bi. Honorata Aloys Nyamenda anaomba wawasiliane naye kwa email manyamenda@gmail.com au kwa simu +1-858 349 8423.
Home
Unlabelled
Mdau anatafuta ndugu zake aliopoteana nao miaka mingi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sasa wewe umepotezana na ndugu zako kivipi? Yaani uliingia mtini tu bila kuwasiliana na ndugu zako?? Hili ni jamabo la ajabu sana. Mtu mzima huwezi potezana na ndugu zako kihivyo.
ReplyDeleteNivizuri atuandike sisi kipato ni kidogo kwenda katika Net Email yetu ni DeDetNyamenda21@yahoo.com
ReplyDeleteAsante
Huyu aliwatosa ndugu zake wakati mambo yake yalipokua safi, sasa mambo yamekua magumu ndio anawatafuta ndugu zake ili arudi nyumbani
ReplyDeleteFacebook inaweza kukusaidia pia.
ReplyDeleteMdau wa kwanza, Kuna watu wameondoka bongo kwa kudandia meli tangu enzi ambazo hakuna internet wala mobile phone. Mtu anazunguka ma-beach yote duniani mpaka anasettle sehemu moja. Inawezekana kabisa mtu kupoteana na ndugu zake.
ReplyDeleteDuh!!! Eeee bwana eee, kweli box sio mchezo. Yaani mpaka umesahau ndugu zako.
ReplyDeleteAu huyu jamaa alikuwa adopted akiwa mdogo na ketengana na ndugu zake hata na mawasiliano?
ReplyDeleteAtakuwa ana matatizo huyu anataka msaada. Awali aliwaona hawafai sasa amegundua "mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe".Kama uliwatosa mwanzoni endelea na maisha yako ya ughaibuni na hata likikupata la kukupata endelea kivyako. 'IDIOT'
ReplyDeleteMbona kafanana sana na Mkuu wa TFF? akamwone inawezekana amewapata ndugu zake
ReplyDeleteJamaa anonekana choka mbaya, alipo kuwa mambo mazuri mbona hakuwatafuta ndugu zake???!
ReplyDeleteHuyu hana lolote, Ni wale watu wanao enda Ulaya kw aKubahatisha, kufika huko ili kila mtu ajue yuko hujko ndio anataka kuuza sura , kusingizia eti kapotezana na nduguze ,ili tuu aonekane, dunia ya sasa kupotezana namna hiyo sio rahisi.
ReplyDeleteHee we kaka handsome hutafuti na mchumba
ReplyDeleteWaTanzania watu wa ajabu sana.
ReplyDeleteHakuna hata mmoja anaeweza sema la kheri??
Comments za hate na upuuzi... Kila mtu amekuwa psychoanalyst. Jinga sana
Kwanza kaka wewe ndiyo bora sana ,wacha waseme kila kitu , cha msingi tafuta Ndugu zako , kwani Damu nzito kuliko Maji ,
ReplyDeleteNa imani utafanikiwa kuwapata ndugu zako kaka , Ongera sana kwa kuwa muazi , kwani kuna watanzania wengine wakienda uko , ukana Utanzania wao , karibu sana Nyumbani kwenu Ongera sana,