Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, akiwa amebeba maua, na kuzungukwa na Madaktari wenzake na wananchi wa kawaida waliofika kumlaki, mara alipowasili mapema leo Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Dk Ulimboka alisema kuwa yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.Picha na K-VIS Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. karibu saana mpiganaji ila nakushauri uhame kwa muda nchini mpaka baadaye la sivyo hatari tupu

    ReplyDelete
  2. Karibu nyumbani

    ReplyDelete
  3. Tuambie nini kilitokea kwenye msitu wa Mabwepande. Funguka kiongozi.

    ReplyDelete
  4. Ana Roho ya Paka

    ReplyDelete
  5. Karudi ??

    ReplyDelete
  6. Huyu msanii

    ReplyDelete
  7. Mungu ni mkubwa na anakupenda. Karibu sana

    ReplyDelete
  8. DR BE CAREFULY KWANI SERIKZLI HAIKUMALIZA KAZI YAKE STAY VERY CLOSE TO THE MEDIA AND PUBLIC FOR UR OWN SAFETY

    ReplyDelete
  9. Kwa wakati huu unashauriwa usikae hapo kibangu, ishi kwanza muhimbili kwa muda, unasakwa kwa udi na uvumba. karibu sana mpambanaji

    ReplyDelete
  10. Mimi Nakushauri Dr. Ulimboka kimbia nchi hiyo njoo huku tuliko wenzako, nchi hiyo ni nzuri lakini watu wake baadhi yao ni wabaya, watakuua, na hasa kwa vile sasa wanajua utatoa SIRI, kwasababu walidhani wameshakuua kumbe bado na hivyo wanajua utatoa ukweli ulivyokuwa na ndo sababu itakayopelekea kukuua na safari hii watahakikisha wanakuua mpaka unakufa kweli.

    ReplyDelete
  11. Karibu home mpiganaji....ila sijui itakuwa je kuhusu usalama wako....Yule akliyekuwa anajifanya rafiki yako, sasa tumuone kama atakuja kukupa pole.

    Pole ila kwa kweli Mungu ashukuriwe sana.

    ReplyDelete
  12. Ni jambo la kumshukuru Mungu saana. Mdau unaesema Dr ana roho ya paka, umeshasamehewa dhambi zako mpaka na shetani sii Mungu tuu. Dr tulikuombea na tunazidi kukuombea.

    ReplyDelete
  13. kwanini wa mue hapana jamani amefanya nini lets change watanzania ,alafu ahame ili iweje usihame kaka yangu kaa hapo hapo ila kuwa makini sana maana nawasiwasi hao madaktar wenzo pia some hawapo upande wako,kama vipi achana na kazi ya DR. tafuta kazi kwenye NGO'S

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...