Leo ni Hepi Besdei ya Kuzaliwa mtoto Sellah Muhidin (kati, kaka yake Booby na rafikiye) naye akaamua akasherehekee na wanafunzi wenzie wa shule ya Lady Chesam Nursery School iliyopo Oysterbay jijini Dar es salaam. Sellah, ambaye anatimiza miaka 3, ni mtoto wa mwisho wa Ankal ambaye alialikwa pia katika kamnuso hako ambako hakukafaidi kutokana na swaumu.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
ankal una wangapi? Au na wewe hujui kama naibu spika?
ReplyDeleteHappy Birthday Sellah.
ReplyDeleteMichuzi, inabidi ufunge kamba au umfunge kamba, uzazi unakwenda na umri. Mungu akupe maisha ya kumwoma Sellah chuo kikuu ukiwa na umri wa miaka ....75?
They are so angelic. God bless Sellah. Hongera Ankal kwa malezi mazuri na kwa kumwekea misingi bora.
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteHongera bana. Huyo binti ni Sellah M. Michuzi. Kwa utambulisho mzuri hiyo M. inabidi kuiweka kapuni na kubaki na Sellah Michuzi.
Aise, wa mwisho? Maana yake ni wa ngapi?
Ankal inamaana Sellah na Bobby hawajauona? hahaha
ReplyDeleteHappy Birthday Sellah..be blessed with many many more..
ReplyDeleteEti wa Mwisho.. he he he!!... Acha mashara ankal!!!..
ReplyDeleteHBD Sellah
Wa mwisho maana yake umemaliza au ni kwa sasa?
ReplyDeleteVery cute babies!! HAPPY BDAY!!1Ni wa mwisho kwa sasa au ni wa mwisho kabisa?
ReplyDeleteAnkal mchoyo, vikeki viwili tu jamani ?
ReplyDeleteAnkal now umekuwa babu bwana, acha sasa, sellah anapendeza kweli kuwa mjukuu wako
ReplyDeleteMdau wa pili kutoka juu unayesema wakati sellah atakuwa chuo kikuu Ankal atakuwa na Umri wa miaka 75,Lakini ukumbuke kuwa Ngombe azeeki maini,mhh..Ankal safari bado unazo ndefu
ReplyDeleteAnkal naona bado humo,ilo Gap limetulia,mbona hatumuoni mdogo wake sellah.
ReplyDeleteNursery school - 50:3 Ankal:sellah
Univesity - 72:25,Ankal:sellah
Nakutakia besidei njema sellah
Sema Bro Michuzi mzee wa kazi,kofia ya Olimpiki nini?.
ReplyDelete1.Mpe hongera sana Sellah
2.Mwulize kama yuko tayari nilete posa,posa yangu ni Ice cream na keki tu kama anatumia.
3.Kizazi hiki kinaweza kuifaidi nchi yetu manake naona tunaelekea ''kwenyewe'
David V
Huyo ni mtoto mdogo wa Ankal na wala sio wa mwisho, mwandishi ana uhakika gani kuwa Ankal hana uwezo wa kupata mtoto mwingine?. Hongera mtoto.
ReplyDeleteAsalaam alaykhum ankal, namtakia maisha marefu mema yenye furaha pamoja na afya njema ankal Sellah amiin.
ReplyDeleteChef Issa
Ankal!Umejuwaje ni wa mwisho,,Mimi nahisi ni wa kati,,Insha'Allah wengine wanafollow!
ReplyDeleteMansha'Allah Sellah ni Kaquite na hao wenzake pia.Allah awakuzieni watoto wenu kwa maadili yaliyomema!Na sisi pia wakwetu Insha'Allah tukija'aliwa!
Ramadhan Mubaraqa Michizi's Family!
Ahlam...London
Kaka,
ReplyDeleteInakuwaje! Mtoto wa miaka mitatu umri huo? Me nilidhani alitakiwa awe Mjukuu yaani mtoto wa yule binti yako uliyeendaga kwenye Gradueshen yake kule shule ya Babros sijui vile!
Mweeh,
Happy Birthday Sellah me na your sister Natasha tunakutakia maisha marefu na Mungu akukuze,love u mwa!
ReplyDeleteAnkali kwenye status yako flani ya facebook uliandikaga uko single sasa hao watoto ndugu yangu, mama wangapi? Inshallah wasomeshe vizuri
ReplyDeleteHappy Birthday Sellah.
ReplyDeleteMama yake na huyo mtoto yuko wapi? Men????? Sina hamu! Kwenye chumba cha uzazi (labor ward) ni mama anayehangaika kumleta mtoto duniani, lakini kwenye sherehe za kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa....baba ndie yuko mbele mbele...... Please Ankal, kama mamake yuko katika hizo picha, mtambulishe tafadhali.......otherwise, itakupunguzia value hasa kwa wadau wako kina mama, kama mimi!
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeletehuyo ndo wa mwisho kweli au?
Mashallah, watoto wamependeza, Michuzi hii usiibane nakuomba umfikishie aliyeandika yale maneno pale ubaoni. Kwanini kama hajui kingereza asitumie kiswahili, lugha yetu ya taifa ambayo pia hata wengine humu hawaijui na wanakimbilia kingereza. Sherehe ya mtoto na wenzie ni nzuri sana imependeza kasoro ni lile neno la kuzaliwa lililokosewa spelling. limeboa sherehe na atawamislead watoto. kwani hii shule ya chekechea haifundish kiinglish?
ReplyDeleteHongera kwa Sellah Inshallah Allah SW amkuze vyema!
ReplyDeleteTuacheni masihara!
ReplyDelete1.Mambo ya majaaliwa ya uzazi,
2.Urefu wa kuishi maisha,
3.Hatima ya maisha yetu kama la utajaaliwa kumwona mwanao ktk umri fulani,
Yote hayo matatu (3) na mengine tusiyoyajua ni mipango ya Mungu!
TUACHE USHIRIKINA NDANI YA MWEZI MTUKUFU KWA KUMWINGILIA MWENYEZI MUNGU KTK MAMLAKA YAKE!
Mjomba Uchumi unauweza!
ReplyDeleteNimekuvulia kofia, kwa ukwasi ulio nao wa ziada umefanya kitu simple tu.
Utawajibika kutoa Semina Elekezi kwa ndugu zetu wengine wanaotumia fedha ndeeefu kwa Sherehe bila malengo!
Uratibu wa maisha unafanywa na Mwenyezi Mungu.
ReplyDeleteMbona wapo waliozaa na kufa wakiwa wangali vijana wabichi chini ya miaka 30 wakawaacha watoto wakiwa wadogo?
Je, hao walimkosea Mungu?
Hivyo suala la Ankali kumwona bintiye akiwa Chuo Kikuu huku yeye akiwa at 75 hiyo ipo chini ya Mamlaka ya Mungu pia.
Huyo anayedai uzazi unakwenda na umri kilaza kweli kweli.
ReplyDeleteIna maana unataka kuwahakikishia watu kuwa Babu yako wa miaka 75 kama uwezo wa kijinsia anao hawezi kukujazia mimba mkeo?
Mkumbuke ya kuwa uwezo wa kijinsia ni tofauti na uwezo wa kimwili hasa kwa wanaume hata mwenye umri wa miaka zaidi ya 75 anaweza kizalisha!
Ohhh umri wa mzazi na mtoto hauendani!
ReplyDeleteMnataka kutueleza wengine mnayo mawasiliano na Mungu?
Mnhhh
ReplyDeleteAcheni kujivika Koti la Mwenyezi Mungu kwa kumpangia Ankali majaaliwa ya kimaisha!
Kila kitu ni siri ya Mungu.
Ni nani ajuaye kilicho mbele yetu sote?