Wananchi mbalimbali pamoja na wanahabari wakishiriki katika sala ya kumuombea aliyekuwa Msaidizi Fundi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Marehemu Mbarouk Yussuf aliefariki leo na kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.
Wananchi mbalimbali pamoja na wanahabari wakibeba Jeneza la aliekuwa Msaidizi Fundi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Marehemu Mbarouk Yussuf aliefariki leo na kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.
Wananchi mbalimbali pamoja na wanahabari wakiwa katika Mazishi ya aliyekuwa Msaidizi Fundi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Marehemu Mbarouk Yussuf aliefariki leo na kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.


Mungu akupe safari ya salama na awajaze imani familia yake. Hakika kila nafsi itaonja mauti Allah Akbar
ReplyDelete