Mdau Mabula Nyameda wa San Diego, California nchini Marekani anatafuta ndugu zake ambao amepotezana nao kwa miaka mingi,ndugu hao ni Bw. Henry Aloys Nyamenda, Bw. Deus Dedit Aloys Nyamenda, Bw. Joseph Aloys Nyamenda, Bi. Maria Aloys Nyamenda na Bi. Honorata Aloys Nyamenda anaomba wawasiliane naye kwa email manyamenda@gmail.com au kwa simu +1-858 349 8423.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Sasa wewe umepotezana na ndugu zako kivipi? Yaani uliingia mtini tu bila kuwasiliana na ndugu zako?? Hili ni jamabo la ajabu sana. Mtu mzima huwezi potezana na ndugu zako kihivyo.

    ReplyDelete
  2. Nivizuri atuandike sisi kipato ni kidogo kwenda katika Net Email yetu ni DeDetNyamenda21@yahoo.com

    Asante

    ReplyDelete
  3. Huyu aliwatosa ndugu zake wakati mambo yake yalipokua safi, sasa mambo yamekua magumu ndio anawatafuta ndugu zake ili arudi nyumbani

    ReplyDelete
  4. Facebook inaweza kukusaidia pia.

    ReplyDelete
  5. Mdau wa kwanza, Kuna watu wameondoka bongo kwa kudandia meli tangu enzi ambazo hakuna internet wala mobile phone. Mtu anazunguka ma-beach yote duniani mpaka anasettle sehemu moja. Inawezekana kabisa mtu kupoteana na ndugu zake.

    ReplyDelete
  6. Duh!!! Eeee bwana eee, kweli box sio mchezo. Yaani mpaka umesahau ndugu zako.

    ReplyDelete
  7. Au huyu jamaa alikuwa adopted akiwa mdogo na ketengana na ndugu zake hata na mawasiliano?

    ReplyDelete
  8. Atakuwa ana matatizo huyu anataka msaada. Awali aliwaona hawafai sasa amegundua "mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe".Kama uliwatosa mwanzoni endelea na maisha yako ya ughaibuni na hata likikupata la kukupata endelea kivyako. 'IDIOT'

    ReplyDelete
  9. Mbona kafanana sana na Mkuu wa TFF? akamwone inawezekana amewapata ndugu zake

    ReplyDelete
  10. Jamaa anonekana choka mbaya, alipo kuwa mambo mazuri mbona hakuwatafuta ndugu zake???!

    ReplyDelete
  11. Huyu hana lolote, Ni wale watu wanao enda Ulaya kw aKubahatisha, kufika huko ili kila mtu ajue yuko hujko ndio anataka kuuza sura , kusingizia eti kapotezana na nduguze ,ili tuu aonekane, dunia ya sasa kupotezana namna hiyo sio rahisi.

    ReplyDelete
  12. Hee we kaka handsome hutafuti na mchumba

    ReplyDelete
  13. WaTanzania watu wa ajabu sana.
    Hakuna hata mmoja anaeweza sema la kheri??
    Comments za hate na upuuzi... Kila mtu amekuwa psychoanalyst. Jinga sana

    ReplyDelete
  14. Kwanza kaka wewe ndiyo bora sana ,wacha waseme kila kitu , cha msingi tafuta Ndugu zako , kwani Damu nzito kuliko Maji ,

    Na imani utafanikiwa kuwapata ndugu zako kaka , Ongera sana kwa kuwa muazi , kwani kuna watanzania wengine wakienda uko , ukana Utanzania wao , karibu sana Nyumbani kwenu Ongera sana,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...