Home
Unlabelled
MHE. ABDULRAHMAN KINANA ATINGA DMV TAYARI KWA UZINDUZI RASMI WA TAWI LA CCM DMV KESHO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mh.Kinana unaheshimika sana ndani ya CCM but wanakutia aibu sana sana!
ReplyDeleteMmeshindwa kuondoa aibu ya MAJIZI ndani ya CCM? cha ajabu hata fomu za kugombea tena CCM wamechukua na watashinda kutokana na pesa za WIZI!
Na cha ajabu mmekubali MIJIZI ile ile kuongoza KAMATI muhumu za Bunge!
NI aibu na CHADEMA watachukua hii nchi kutokana na kuonekana sasa CCM imeamua kukumbatia MIJIZI.
MUNGU IBARIKI TZ.
Nakubaliana na Mdau mtoa Maoni wa kwanza.
ReplyDeleteMhe.Raisi ndugu yetu JK ,pamoja na Mhe.Kinana na wengine wa CCM ambao wamepitia Majeshini ninyi ni Asikari kinachotakiwa ni kuwakamata hao MAJIZI NDANI YA CHAMA TAWALA MKAYAWEKA NDANI GEREZANI NA KUYAFILISI MALI ZAO ZA WIZI ILI MKINUSURU CHAMA TAWALA NA KURUDISHA IMANI YA WANANCHI JUU YA CHAMA NA SERIKALI ILIYOPOTEA!!!
mmmh watu kwa kutafuta ulaji. Sasa mnasema DMV mara katibu wa state nyingine haipo ndani ya DMV.
ReplyDelete