MHESHIMIWA ABDULRAHMAN KINANA AKISALIMIANA NA VIONGOZI WA JUU WA CCM MAREKANI MARA ALIPO WASILI WASHINGTON DC. KUTOKA KUSHOTA NI KATIBU DMV KINYEMI, KATIBU NY SHABANI MSEBA NA MWENYEKITI DMV LOVENESS MAMUYA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Che GuevaraAugust 25, 2012

    Mh.Kinana unaheshimika sana ndani ya CCM but wanakutia aibu sana sana!
    Mmeshindwa kuondoa aibu ya MAJIZI ndani ya CCM? cha ajabu hata fomu za kugombea tena CCM wamechukua na watashinda kutokana na pesa za WIZI!

    Na cha ajabu mmekubali MIJIZI ile ile kuongoza KAMATI muhumu za Bunge!

    NI aibu na CHADEMA watachukua hii nchi kutokana na kuonekana sasa CCM imeamua kukumbatia MIJIZI.

    MUNGU IBARIKI TZ.

    ReplyDelete
  2. Nakubaliana na Mdau mtoa Maoni wa kwanza.

    Mhe.Raisi ndugu yetu JK ,pamoja na Mhe.Kinana na wengine wa CCM ambao wamepitia Majeshini ninyi ni Asikari kinachotakiwa ni kuwakamata hao MAJIZI NDANI YA CHAMA TAWALA MKAYAWEKA NDANI GEREZANI NA KUYAFILISI MALI ZAO ZA WIZI ILI MKINUSURU CHAMA TAWALA NA KURUDISHA IMANI YA WANANCHI JUU YA CHAMA NA SERIKALI ILIYOPOTEA!!!

    ReplyDelete
  3. mmmh watu kwa kutafuta ulaji. Sasa mnasema DMV mara katibu wa state nyingine haipo ndani ya DMV.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...